Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
.....na wengi wanaotetea huu uzi, ndiyo hawa waliokusanyika hapa..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha punguza hasira mkuu! Kuna mtu kanishangaza sana hapo juu kuiponda Toyota IQ......hivi kukaa kituoni kusubiri mwendokasi au daladala, kugombania na kuingilia madirishani VS kuwa na passo, toyota BB, Toyota Will, Porte,Swift, Nissan March au Nissan cube ukae ndani uwashe kiyoyozi na mziki wa taratibu.....ni kipi afadhali..?
Mbona watz hamueleweki..
Pelekeni usenge huko MBWA nyie.View attachment 1505616
Teh teh teh...Hahahaha punguza hasira mkuu! Kuna mtu kanishangaza sana hapo juu kuiponda Toyota IQ..
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hahahaha safi sana! Naipenda sana hii gari..Teh teh teh....
]View attachment 1505723
Bora hata mbwa mkuu. Kuna watu wanadharau asee....hivi kukaa kituoni kusubiri mwendokasi au daladala, kugombania na kuingilia madirishani VS kuwa na passo, toyota BB, Toyota Will, Porte,Swift, Nissan March au Nissan cube ukae ndani uwashe kiyoyozi na mziki wa taratibu.....ni kipi afadhali..?
Mbona watz hamueleweki..
Pelekeni usenge huko MBWA nyie.View attachment 1505616
Mkate?, Sema kitumbua mkuu.Hahaha, gari utafikiri Mkate
Mkuu haka ukikafunga kamba kwa mbele si mtoto anaweza kuwa anavuta anakaendesha kwenye michezo na wenzake?
No airbagHizo Mimi nilizikataa kitambo, yaani huwa sizipandi kabisa, sijafikiria hata kumnunulia mtoto wangu. Nakomaa na hii hii ya urithi It's old but very Unique.View attachment 1504255
Kipindi sipo na gari hakuna kitu nilikuwa sikipendi kama kutoka au kwenda kwenye shughuli zangu hasa wakati wa mvua......na wengi wanaotetea huu uzi, ndiyo hawa waliokusanyika hapa..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1505617
Haka kagari nakapenda sana
Haya ni yale ukipishana na lori na wewe dereva humo ndani unabidi ukwepe piaHabarini Wakuu,
Tangu mwaka wa 2018 June nilikuwa nikihitaji at least kupata usafiri binafsi. Katika mchakato wa kuwashirikisha wajuzi zaidi wa magari na madalali baadhi wamekuwa wakisuggest aina za magari ambayo zilikuwa zinanichekesha sana Wallah
Kuna aina za magari binafsi naona zina muundo mbaya (body structure) hasa kwa Wanaume.
Ikitokea nikapewa zawadi ya magari hayo nitabadilishana na mtu mwenye pikipiki BOXER muda huohuo kabla ya Masaa 6.
Gari hizo ni Porte, Nadia na aina flan ya Suzuki:
Mi naona kuna baadhi wa wadudu wanatizama alivyo ndio wanafyatua gari kama huyo mduduHilo no.1 aliyelitengeneza naye basi tu alitaka aonekane kabuni kigari cha tofauti.
Kweli kabisa mkuu, mie nina ami angu ana Landcruiser V8, Noah na Jeep wrangler ila zaidi anatembelea Passo.Gari ni gari as long as it gets you from point A to point B.kama unataka Landcruiser 200series,Bentley bentyaga,Rolls Royce Cullinan,jaguar E,lamborghini Aventador,Mc laren gt, jaguar F type hayo ni maswala ya budget yako Kama inaruhusu.wanao kuwa na gari na shape Kama box wengi wao budget zao lakini wengine huangalia fuel consumption wengine unakuta anapenda kuwa na gari ndogo katika moja ya fleet yake.
asee mm hasa hasa nkiona nadia yaan najiskia vbaya knomaHizo gari mm nikiziona najisikia vibaya tu moyoni, utafikiri tulikosana nazo, sijui car makers walifunga macho wakatengeneza body za ajabu hivyo.
[emoji38][emoji38] Vipi ukiona imprezaasee mm hasa hasa nkiona nadia yaan najiskia vbaya knoma
n kwel asee maana mjapan ana matoleo mengi ya magari mpaka kaishiwa mfano ukiangalia vzuri toyota allex na toyota Run X hazna tofaut yaan n gari moja ila ina majna mawiliMi naona kuna baadhi wa wadudu wanatizama alivyo ndio wanafyatua gari kama huyo mdudu
imprezza n gari nzuri naipenda huwez ifananisha na porte,passo,note,funcargo[emoji38][emoji38] Vipi ukiona impreza
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Njoo tubadilishane na boxer