Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 997
- 1,348
Na sienta kwa kweli zimenitoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.
Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!
Imekaa kama ndula ya mtoto😀😆😀 mkuu kweli funcargo ilipaswa kuwa namba 1
Hahahah utakuwa huijui Will Vs mkuu ama Toyota BB!Kama haujaweka funcargo no.1 uzi wako ni batili au tuandamane
Jf hata mimi inanichekeshaga sana kila mtu yuko juu na kila mtu ni mbabe yaani hakuna mnyonge.Sijawahi kujutia uwepo wangu humu jf...[emoji23][emoji23], Maana.....
Wasomi nyie,
Matajiri nyie,
Wenye magari nyie,
Wenye wake/wame wazuri nyie,
Mlio kamilika/msio na mapungufu nyie,
Kuanzia mleta mada mpaka wanaomsupport hakuna hata mmoja anaemiliki gari.Kama usafiri wa gari unao sawa kejeli. Ila kama unagombaniaga daladala na unakejeli basi upo kwenye hatari ya kugombania daladala maisha yako yote. Maisha ni step, kuwa kwanza na usafiri ndo uuchukie ili upande zaidi.
Kila la kheri mkuu!Kuanzia mleta mada mpaka wanaomsupport hakuna hata mmoja anaemiliki gari.
Gari muhimu sana haswa sisi tunaoishi mjini unakuta mmelundikana watu kibao kituoni mnasubiri daladala.
Anapita jamaa na Passo yake kafunga vioo yupo peke ake ndani mwendo mdogo mdogo wewe upo kituoni toka saa 12 jioni mpaka saa tatu usiku unakimbilia daladala ukiingia ndani limejaa unashuka chini unasubiri lingine tena mwendo huo huo ukizubaa hata simu unaweza poteza.
Sasa lwa nini usimuonee wivu mwenye Passo maana mwenzio dakika tano tu kashafika kwake kajipumzikia wewe upo kituoni unahangaika kutafuta daladala. Mimi natafuta ela nianze na hizo wanazoita baby walker.
Hahaha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf hata mimi inanichekeshaga sana kila mtu yuko juu na kila mtu ni mbabe yaani hakuna mnyonge.
Yaani ukisema uwasikilize mikwara yao unaweza ukajiona hauna maisha kabisa.
Ndio hivyo mkuu.Hahaha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba "unaweza ukajiona kama ni wewe tu ndie umechoka"....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii jeuri ya mwaka.Hizo Gari si bora mtu ununue Mwamvuli.
😀😆😀 hii komeshaHizo Gari si bora mtu ununue Mwamvuli.
Bei gani huu mchuma?View attachment 1504343
Pata Harley-Davidson, pikipiki wanaume wa maana, siyo vi boxer ambayo vikienda 80km/ hr unaacha mud guard barabarani.
Fun cargo, passo, ist, vitz, porte, Sienta naona hazina tofauti. They’re all the sameMaajabu.
Hadi sasa sijaona funcargo.
Nikifikiri itakuwa ya kwanza.
[emoji1787][emoji1787]Halafu mmeisema passo hadi roho imeniuma.
Tena amevimba kabisa na kitambi 🤣🤣🤣😂😂Dume zima juzi namkuta anaendesha kapasso😀😀
Starlet zipo safi na zipo zenye muonekano wa kiume kama vile Glanza, Gt turbo nk.Sisi wa starlet tutajificha wapii??
Mkuu hizi pikipiki HD(Harley-Davidson) ni Class.Bei gani huu mchuma?
Duh! Acha nikomae tu na boxerMkuu hizi pikipiki HD(Harley-Davidson) ni Class.
Bei inaanzia $6,500 hado $45,000 kwa mpya.
Lakini huo mchuma ukuwa na unaingia club ya wenye nazo na hata kiwanda cha HD kitakutambua.