Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Utafikiri anayo, labda ni mteja mzuri wa daladala sema jf wote wana magari[emoji38][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafikiri anayo, labda ni mteja mzuri wa daladala sema jf wote wana magari[emoji38][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mama yako ajakushtua tumefunga ndoa naye sasa hivi mimi baba yako wa kambo na miezi michache ijayo utakuwa na mdogo wakoVp mkuu, bado hujapata MUME huko? Maana inaonekana unahusudu sana vitu vinavyopendwa na wazungu.!
Until a man akijua uchungu wa kusave money step by step and kukukua his own car na his own cash (Isiyo na mkopo) na aweze kulihudumia monthly.. ndo aje hapa atukane magari ya wengine.. aiseee i agree with you here ni comments za wapanda daladala, gari za urithi na za kuhongwa na wanawake ndo wanacoment ujing ujinga hapaHuu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.
Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!
Hapana mkuu hata kiwanda cha njiti za meno hakuna...Acheni ujinga mnatoka kwenye nchi ambazo hata kiwanda cha kuunda Guta hakipo.
Sawa baba wa kambo, ila changamka apatikane huyo mdogo angu.Mama yako ajakushtua tumefunga ndoa naye sasa hivi mimi baba yako wa kambo na miezi michache ijayo utakuwa na mdogo wako
Usisahau pia, kumiliki Harrier ni jambo moja, na kulihudumia (fuel& services) ni jambo lingine tofauti kabisa. Hivyo jipange kwa vyote. Hayo magari yaone tu barabara hivyo hivyo, lakini furaha au maumivu yake yapo mioyoni mwa wamiliki wake.Dream Car yangu Mimi ni Harrier haijaloshi Old au New model napigana usiku na mchana niipate, Nina miaka mitano serikalini toka niajiriwe lengo langu ni Ndani ya hii miaka mitano ya mwisho ya JPM niinyakue haijalishi kwa mkopo wa Bank au cash yangu binafsi
Huyo ni ndugu yake Porte
View attachment 1504290
Huu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.
Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!
Dume zima juzi namkuta anaendesha kapasso[emoji3][emoji3]
Ukistaajabu ya Porte utakuwa hujakumbana na Passo short chasis. Juzi kati kamenipita ka passo milango miwili nilijikuta natema chini