fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,615
Anavyoonekana hana chombo cha usafiri huyu [emoji23]Uzi wa matajiri huu,
Afu cha kuchekesha utakuta mtoa mada hata baiskeli hana[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anavyoonekana hana chombo cha usafiri huyu [emoji23]Uzi wa matajiri huu,
Afu cha kuchekesha utakuta mtoa mada hata baiskeli hana[emoji23][emoji23]
Kwani Hii ndo ile wanaita gari maalum kwa watu maalum?Kuna hii toyota Bb kuyasema magari ya watu sipendi ila haka kagari kalivyokaa hapana kwa kweliView attachment 1504384
Sawa mr Boxer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ok Mr. Porte
[emoji1474]That's me.
Atoe wapi?Anavyoonekana hana chombo cha usafiri huyu [emoji23]
Kwa stage uliyotoka (BMW X5) mpaka kwa hapo ulipo sio kuyumba kidogo huko ni kupepesuka au kuteleza karibia na kuanguka kabisaaYani nina haka kagari na nakapenda mno, ila umenichekesha sana sana eti ukipiga horn wanalazimika kufungua gate. Ukweli ni kwamba nakapenda kwakuwa kanarahisisha gharama za maisha, ila hakana nguvu hakako comfortable kama BMW 5 series nililowahi kabla sijayumba kidogo
Jiwe gizani,Atoe wapi?
Hao ndio wale akikaa au akivuka vibaya barabarani anakutolea povu unaringa na kigari chako cha mkopo, huwa nawajibu nenda kakope na wewe ununue lako
5 series ni gari tofauti na X5 boss.Kwa stage uliyotoka (BMW X5) mpaka kwa hapo ulipo sio kuyumba kidogo huko ni kupepesuka au kuteleza karibia na kuanguka kabisaa
Nyie mnao jimwambafai hamyapendi magari flani hamnaga hata baiskeli, kwa mtu mpambanaji aliewahi/anaemiliki gari (sio ya uridhi, kuhongwa au wizi) anajua nini maana ya gari haijalishi imekaaje na ina muonekano gari.Jiwe gizani,
Very sorry, hunijui na hujui unachoongea wewe hakika, umepanic sana na porte yako
Relaax...!
Hii ni ile niazime gari yako mara mojaHahah mambo ya uchumi wa kati hayo mkuu.View attachment 1555046
Kumbe wewe kwako gharama ndio muhimu kuliko Ubora??
Yaani kisa bei ghali basi unaamini ndio bora, hii analysis ya ajabu sana...
That's me.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila bhana tuache utani mwenye passo akipita kwenye kituo cha daladala ambacho watu kibao wamejaa wanasubiria kugombania daladala huwa anaonekana kama mfalme hiv [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanakwambia Passo ni pikipiki yenye bodi la station wagon