Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Usibadilishe ulichokisema kuwa na msimamo

Uliandika hivi
"Ikitokea nikapewa zawadi ya magari hayo nitabadilishana na mtu mwenye pikipiki BOXER muda huohuo kabla ya Masaa 6"...
Ok Mr. Porte
 
Yani nina haka kagari na nakapenda mno, ila umenichekesha sana sana eti ukipiga horn wanalazimika kufungua gate. Ukweli ni kwamba nakapenda kwakuwa kanarahisisha gharama za maisha, ila hakana nguvu hakako comfortable kama BMW 5 series nililowahi kabla sijayumba kidogo
Kwa stage uliyotoka (BMW X5) mpaka kwa hapo ulipo sio kuyumba kidogo huko ni kupepesuka au kuteleza karibia na kuanguka kabisaa
 
Atoe wapi?
Hao ndio wale akikaa au akivuka vibaya barabarani anakutolea povu unaringa na kigari chako cha mkopo, huwa nawajibu nenda kakope na wewe ununue lako
Jiwe gizani,

Very sorry, hunijui na hujui unachoongea wewe hakika, umepanic sana na porte yako

Relaax...!
 
Jiwe gizani,

Very sorry, hunijui na hujui unachoongea wewe hakika, umepanic sana na porte yako

Relaax...!
Nyie mnao jimwambafai hamyapendi magari flani hamnaga hata baiskeli, kwa mtu mpambanaji aliewahi/anaemiliki gari (sio ya uridhi, kuhongwa au wizi) anajua nini maana ya gari haijalishi imekaaje na ina muonekano gari.

Kwa kua sikujui na hakuna uwezekano wa kukujua ndio maana unajitapa humu JF
 
Watu wanakwambia Passo ni pikipiki yenye bodi la station wagon
[emoji23][emoji23][emoji23] ila bhana tuache utani mwenye passo akipita kwenye kituo cha daladala ambacho watu kibao wamejaa wanasubiria kugombania daladala huwa anaonekana kama mfalme hiv [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom