Hizi Gari: kubadili OIL ni milioni 47.

Hizi Gari: kubadili OIL ni milioni 47.

nao ni watu kama wewe kukosea kupo tu.

hivi kati ya hauwezi na huwezi ni neno lipi ni sahihi?
Huwezi ndio sahihi.

Halafu kukosea mbona kupo tu, hata mashine sijui inatumia infared maana inaona kwenye giza ila ikikosea utasikia "Aaah sio huko"
 
Huwezi ndio sahihi.

Halafu kukosea mbona kupo tu, hata mashine sijui inatumia infared maana inaona kwenye giza ila ikikosea utasikia "Aaah sio huko"

Ni Ndiyo au Ndio? 😀 😀 ,Ni center au Centre? Ni Story au Storey? Ni Alafu au Halafu? Tusikariri ,Check context!

Kusema milioni 1,500,000 = milioni 1.5 si sahihi.
 
Tupo sawa kwa kuwa wote tunaingia chooni tu siyo mengine
 
Ila leo umuhimu wa gari umeonekana
leo kama huna gari lazima uone uchungu wa umaskini.. 😅😅😅 alafu leo kwa wenye gari ndio siku nzuri ya kupata bahati unapewa lift alafu foleni huwa haitembei.. aaah mbona siasa kama zote
 
Kama bag la mtoto wa shule ni usd 3,000 na wananunua kwa 47mln sio aghari kwao.
 
leo kama huna gari lazima uone uchungu wa umaskini.. 😅😅😅 alafu leo kwa wenye gari ndio siku nzuri ya kupata bahati unapewa lift alafu foleni huwa haitembei.. aaah mbona siasa kama zote
Kuna watu wameliwa kwenye foleni leo 😀😀😀😀
 
Kuna watu wameliwa kwenye foleni leo 😀😀😀😀
kama kawaaa.. nilipata mpenzi kisa nimempa lift . tumefika anapo enda nikamuuliza umepata breakfast akasema hapana, nikamuambia basi twende mahala akakubari nikala kimasihara 😅😅😅
 
Ndio Mana najiulizaga kwanini sioni ile RR ikiingia front

mara nyingi tu namuona mnyama kapaki au bovu nini!

hatimae nmejua sababu ya msanii wetu kulipaki lile dude

kumbe tuna Buy Time muda wa kubadilisha oil walau usifike chap chap

hii midude kama hujafikia level ya kuimiliki kausha tu,Kuyanunua sio ishu

mchakamchaka unaanza ukishalinunua kulihudumia,hapo ndio patapotuambia uliforce au ilipangwa!
 
Mimi na baiskeli yangu haitumiii oil wala nn,ila ikipata pancha bila kunipa taarifa

naipaki hapo ndani nijitafute ipatkane hela ya kwenda kuziba pancha,maisha haya
 
Back
Top Bottom