Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
😂😂Tukitoka D9 itakuwa mwisho wa haya
Day care kwa Tanzania ni wizi mkubwa tuUpo sahihi kabisa sioni umuhimu wa ilo naona kama shule zina tengeneza namna ya kupata pesa utakuta kuchangia ni 70k hiyo nguo pee bado hela ya sherehe na wana unganisha kwenye ada ya mtoto
Na sio wavivu tu wajinga kabisaDay care ni mpango wa wazazi wavivu na wenye shule matapeli.
Ndio tulipofikia mkuu ila kwa kuwa pesa ni.ya mtu basi acha afanye atakalo tu ila kiukweli wanashangazaDaycare anagraduate nini?
Daycare ni uangalizi kwa mtoto muda ambao walezi labda wanakua kazini au sababu yoyote waionayo. Ndio maana zipo mpaka zakulipia kwa siku moja, wiki n.k kama mzazi/mlezi ana dharula.
Sasa daycare anagraduate kitu gani?
Wamama ndio wamepumbazwa na hizo day careDay care kwa Tanzania ni wizi mkubwa tu
Watoto wanafundishwa kwa kuforce eti mtoto wa miaka miwili anafundishwa kusoma kweli?
Tangu lini maana ya day care ikawa shule ya kusoma? Ni wezi
Your a man of wisdom ulikataa ujinga waoNililetewa barua last month ya kuchangia such nonsense tangu ile siku hawakumuona tena mwanangu shuleni kwako!
Sasa huyu mtoto kiuhalisia wanamuharibia utoto wake
Mtoto wangu hii kitu ishampita sifanyi huu ujinga pamoja na kumfanyia mtoto birthday no
Ni usenge usenge tu afu ndo unaonekana ujanja au mafanikio sijui ushua wanaita wao.Mtoto wangu hii kitu ishampita sifanyi huu ujinga pamoja na kumfanyia mtoto birthday no
Ujumbe umefika mkuu😂😂I salute you kinsmen
Wakuu
Kuna jambo huwa linanishangaza sana
Ninapoishi kuna ukaribu kidogo na day care moja hivi.
Sasa jioni nimerudi nikawa naskia muziki mule
Kumbe wameweka graduation party wazazi wamealikwa jioni hiyo
Yaani kiufupi ni graduation ya watoto kumaliza day care! Hapo hata nursery hawajafika!
Nikajiuliza sana
Na majoho wamevalishwa kabisa, mama mmoja nimeskia alilia mpaka kuzimia kabisa, hakuamini kuwa mwanaye kamaliza hiyo day care ..
Kiukweli elimu inapoelekea inaenda kudharaulika sana kwa kweli
Mtoto akimaliza la kwanza anafanyiwa graduation ya kufa mtu na joho anavaa
Means kila mwaka anafanyiwa graduation
Maana ya elimu inapotea kabisa .
Waacheni watoto waufaidi utoto wao msiwabebeshe matumaini makubwa wakiwa wadogo
Sasa mama junior and the likes ni mwendo wa graduation tu.
Wazazi wa watoto wanaohitimu elimu ya awali kuna muda wanakuza sana mambo.
Utakuta mzazi analia hadi anazimia.
Ukimuuliza, anajibu "Siamini kama mwanangu kapiga hatua kubwa hivi kwenye maisha yake".
Hatua ipi wakuu? Mbona Junia mwenyewe hawezi kuandika "a" hajui kuandika "i". Sijaongelea kabisa suala la kuhesabu 1-5.
Kitu pekee ambacho Junia amekifanya kwa mwaka mzima ni kupaka tu rangi picha ya tembo!
Kwanza Junia avue hilo joho. Kwani akivaa nguzo za chekecheana yebo na akafanya hako kasherehe kuna nini?
View attachment 3512768