Hizi graduation za day care na nursery zimeanzia wapi?

Your a man of wisdom ulikataa ujinga wao
Acha tu mkuu uzuri bi mkubwa yupo hai nikaamua aende kwa bibi yake ingawa hadi leo wife kanuna! Huu upuzi mawanaume tuwe nao makini hawa wake zetu baadhi wanaona ni sahihi. binafsi nilianza kuvutana naye mwezi wa saba walipo agiza kwamba mtoto aje na bunda la karatasi yaani ream paper nikamuuliza wife huyu kbwa umri wake ni kucheza, kula na kulala sasa ream paper ya nini?! Sijui alitoa mwenyewe as me baada ya swali langu kukosa jibu sikuhangaika nalo! Sasa hili la mchango ndo lilinichefua na kuwaza tunako elekea na hii shule siko kabisaa!
 
Ujumbe umefika mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚

Ila kama umetia chumvi kidogo
Kukazia Point zako
Kuna Bi Mkubwa alibubujikwa na machozi ya furaha kuliko Luka mwashambwaπŸ˜‚πŸ˜‚.
Huwezi amini mkuu

Ila yule mama junia alilia mpaka akazimia🀣
 
Ni usenge usenge tu afu ndo unaonekana ujanja au mafanikio sijui ushua wanaita wao.
Ila haya mambo yanachekesha sana.
Mahafali ya daycare πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na vyeti juu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo ndio unajua kuwa hiyo ni zaidi ya biashara

Mtoto mdogo huyo ream ya nini? Labda kuchorea ila hata kama day care kweli?

Na upo sawa psychology inaeleza hivyo kabisa kuwa mtoto anatakiwa kuanza kusoma na kuandika serious akiwa na miaka 6 to 7 .

Kama ni chini ya hapo wanaharibu watoto tu

Ulifanya sawa kumuacha acheze, kula kulala kwa ujenzi mzuri wa akili yake baadae
 
Wakuu mnapitia mengi kumbe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Karatasi
 
Ili ufanikiwe kwenye jambo kubwa basi anzia kwenye mambo madogo madogo.

Mtoto hupata ari pale anapoona thamani kwenye mafanikio ya jambo la awali.

'Gaduleshioni' ni jambo la furaha. Usione nongwa watu kufurahi. Hata wewe mtoa mada ungekuwa kama wao usingeona issue.
 
Mbona mwanangu umemuwekea mshale?
 
Huyo aliyevaa miwani ni Mtoto wa Kihaya namfahamu na nilikuwepo

Haya yote wanafanya ili kuvutia Wateja...yaani wapate watoto wengi zaidi
 
Kina mama wanajifurahisha kupitia watoto wao, ila sidhani kama watoto huwa wanafurahia hizo sherehe maana wengi wao hata hawaelewi ni kitu gani.
 
Most people today have mental cases(insanity) mnaita matatizo ya afya ya akili.
 
Wabongo bhana watu wamejiwekea sherehe Yao wewe unaumia aisee waweke sherehe wawapeleke Ulaya kufurahia moto kwa alivyokua sawa tu shida nini yaani ninyi mnaamini maisha ni degree tu bila degree daah aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…