Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
ndo naambiwa kuwa huyu mchezaji ana asili ya Tanzania. Andendekyise Mwakikole na wanasema wazungu wakaamua kumuita Andy Cole. hayo nimeaambiwa leo nikiwa hapa Jangwani na wazee wangu wa Yanga wakinipa stories mbili tatu za michezo na wanamichezo. nikashangaa kuwa kuna mchezaji ambaye anachezea Argentina baba yake ana asili ya Kitanzania. anaitwa Diego Lugano.
kuna akuna Sol Campbell ambaye alitoka Tanzania miaka hiyo akiitwa Sauli Mwankembo kule kwao wakambilisha jina na kuwa Sol Campbell. hawa wote walikuwa hazina ya Tanzania miaka hiyo wakaenda nchi za watu.
kiukweli nimefurahi sana kuona hawa wazee wetu wana kumbukumbu nzuri na wanafuatilia sana kabumbu ndani na nje ya nchi yanga ni team iliyojaa historia kubwa sana. Yanga ni team ya Kihistoria ina wazee wenye uelewa mkubwa sana. nawaza hawa akina Andendekisye Mwakikole akina Lugano, akina Sauli Mwankembo wangekuwa TZ tungekuwa mbali sana.
YANGA NI BINGWA 2024/2025