Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

jamaa akitoa track, hata za miaka ya karibuni
basi ataingiza lines kadhaa za kumchokonoa Afande
mie nacheka kichizi
By the way kwangu Solo Thang atabaki kua Katika top 5 ya wasanii wakali wa hip-hop bongo naowakubali Sana...
Hata kwenye hili bifu sikuzote nipo upnde wake ..
Cc Kilio Changu ft Q Chillah
 
By the way kwangu Solo Thang atabaki kua Katika top 5 ya wasanii wakali wa hip-hop bongo naowakubali Sana...
Hata kwenye hili bifu sikuzote nipo upnde wake ..
Cc Kilio Changu ft Q Chillah
Solo anajua sana, na atabaki kuwa anajua

nakumbuka lines zake katibua hatari sana kwa ile "usione soo, sema nae, kuhusu kusubiri, kuwa mwaminifu" -ISHI STARS
 
Umesahau bifu hizi bendwa za miaka ya 2000-2008..

Mwana FA vs Dudubaya (Baada ya kuombana msamaha wakatoa nyimbo inaitwa tuliza kitenesi i think ilikuwa 2004 kama sio 2005)

MwanaFA Vs Wandago ( Baada ya kuimba ingekuwa VIPI jmaa walimind wakaanzisha Bifu na wakamjibu ingekuwa Poa)

Bwana Misosi vs Man x (hii ilikuja baada ya Man x kuiba beat la Bwana misosi nitoke vipi nakuimba kwenye nyimbo yake nimechezea bahati ambayo alimshirikisha dully sykes)

Prof jize vs Chamilion...

Juma Nature vs Jaymo (
jaymo alitembea na Sinta ndo bifu likaanza na nyimbo kibao album nzima ya Ugali ilikuwa na majungu ya sinta tu na jaymo)

PNC vs Babu tale na abdubonge (Tip Top)

Baba levo na Nay wa mitego (
Kama unakumbuka miaka 2005 au 2006 hivi Ney alitoka Bongo records akatoa nyimbo ya Itafahamika akatukana watu akiwemo P funk...Na kipindi hicho baba levo yuko chini ya Pfunk majani akaamua kuanzisha bifu na akamjibu kwa nyimbo inaitwa wanyee mwaka 2006)

Hallow ziko nyingi tuanze na hizi kwanza nitaongeza zingine
 
Solo anajua sana, na atabaki kuwa anajua

nakumbuka lines zake katibua hatari sana kwa ile "usione soo, sema nae, kuhusu kusubiri, kuwa mwaminifu" -ISHI STARS
Solo anajua bhna ,Akiimba mduara anaimba bora kuliko wote na huko hiphop ndo kabisa..
Unaikumbuka Mtoto sio riziki ya Solo thang...
 
Solo anajua sana, na atabaki kuwa anajua

nakumbuka lines zake katibua hatari sana kwa ile "usione soo, sema nae, kuhusu kusubiri, kuwa mwaminifu" -ISHI STARS
Aliwapoteza Sana hata kwenye mtazamo solo aliangamiza Sana... Ile intro tu Hakuna S bila O, L bila O mwingine aitwae Thang bila Solo shupavu awajibike ka mwanaapolo....
Living Legend
 
Bwana Misosi vs Man x (hii ilikuja baada ya Man x kuiba beat la Bwana misosi nitoke vipi nakuimba kwenye nyimbo yake nimechezea bahati ambayo alimshirikisha dully sykes)
Man-X alidai aliitaka beat, akamcheki Bwana Misosi, Misosi akampa beat kwa CD
wimbo ulivyotoka uka-hit sana kuliko ule wa Misosi, ndipo beef lilipoanzia, Misosi akakomaa chinichini mpaka redioni usipigwe
Prof J alisuluhisha
 
Hili ndo bifu Bora Sana kwangu.. [emoji28]
Napenda Sana kwenye Ngoma ya Solo Thang "Travela" anavomdiss Afande Sele na kumuita "Mgambo Sele" hahahah
Hii diss ilikaa kikuda sana. Chanzo cha bifu ni pale Afande aliposhinda shindano la rapa bora na kupewa gari. Solo alidai yeye ndio alistahili kuwa mshindi na sio "Mgambo Sele". Sijajua kama walishapatana. Ila ile "Mtazamo" ndio inabaki kuwa collabo yangu ya muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…