Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

jamaa akitoa track, hata za miaka ya karibuni
basi ataingiza lines kadhaa za kumchokonoa Afande
mie nacheka kichizi
By the way kwangu Solo Thang atabaki kua Katika top 5 ya wasanii wakali wa hip-hop bongo naowakubali Sana...
Hata kwenye hili bifu sikuzote nipo upnde wake ..
Cc Kilio Changu ft Q Chillah
 
By the way kwangu Solo Thang atabaki kua Katika top 5 ya wasanii wakali wa hip-hop bongo naowakubali Sana...
Hata kwenye hili bifu sikuzote nipo upnde wake ..
Cc Kilio Changu ft Q Chillah
Solo anajua sana, na atabaki kuwa anajua

nakumbuka lines zake katibua hatari sana kwa ile "usione soo, sema nae, kuhusu kusubiri, kuwa mwaminifu" -ISHI STARS
 
Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa.
  1. Clouds media vs Kalapina
  2. Clouds media vs Pfunk
  3. Clouds media vs Dudubaya
  4. Ruge vs Lady JayDee
  5. Ruge vs Sugu
  6. Ruge vs Diamond Platnumz
  7. Ruge vs Qchief
  8. Kalapina vs Chidy Benz
  9. Kalapina Vs Dudubaya
  10. Dudubaya Vs Mr Nice
  11. Kikosi Cha mizinga vs Nako 2Nako
  12. Kikosi cha mizinga vs Salama Jabir
  13. Pfunk vs Dogo Janja 😂😂😂😂😂kisa kufuma meseji za mapenzi za dogo Janja kwa Paula na kipindi hicho Paula bado anasoma .
  14. Pfunk Vs Prof J
  15. Prof J Vs Afande Sele
  16. Afande Sele Vs Bwana Misosi
  17. Afande Sele Vs Madee
  18. Afande Sele Vs Clouds Media
  19. Afande Sele Vs Oten
  20. Oten Vs Rado
  21. Rado Vs Fid Q
  22. Fid Q Vs John Makini
  23. Joh Makini Vs Salam Sk
  24. Joh Makini Vs Roma
  25. Roma Vs Izo bussinez
  26. Roma Vs Nay wa mitego
  27. Roma Vs Wakazi
  28. Roma Vs Mon Centrozone
  29. Roma Vs Madee
  30. Madee Vs Nay Wa Mitego
  31. Nay Wa Mitego Vs Ommy Dimpoz
  32. Nay Wa Mitego Vs Kimbunga Mchawi
  33. Nay Wa Mitego Vs Calisah
  34. Lady Jaydee Vs Mwana FA
  35. Lady Jaydee Vs Chidy Benz
  36. Lady Jaydee Vs Ray C
  37. Zay B vs Sister P
  38. Sugu Vs FA
  39. Ngwair Vs Mchizi Mox
  40. Langa Vs Jaymoo
  41. TID Vs Dully Sykes
  42. TID Vs Billnas
  43. TID Vs Q Chief
  44. Luteni vs Inspector Harun
  45. Inspector Harun vs Juma Nature
  46. Juma Nature vs Sintah
  47. Juma Nature vs Said Fella
  48. TMK Wanaume vs East Coast
  49. TMK Wanaume Halisi vs TMK Wanaume Family.
  50. Joslin vs Mr Blue
  51. Mr Blue vs Diamond Platnumz
  52. Diamond Platnumz vs Chege
  53. Diamond Platnumz vs Q Chief
  54. Diamond Platnumz vs Tundaman
  55. Diamond Platnumz vs Shetta
  56. Diamond Platnumz vs Ommy Dimpoz
  57. Diamond Platnumz vs Bob Junior
  58. Diamond Platnumz vs Mb doggy.
  59. Diamond Platnumz vs Rich Mavoko
  60. Diamond Platnumz vs Ali Kiba
  61. Diamond Platnumz vs H baba
  62. Diamond Platnumz vs Harmonize
  63. Diamond Platnumz vs Baby Madaha
  64. Diamond Platnumz vs Diva the bawse
  65. Diva the bawse vs Harmonize
  66. Harmonize vs Rayvan
  67. Harmonize vs Dully Sykes
  68. Ali Kiba vs Shilole
  69. Shilole vs Snura
  70. Dogo Mfaume vs Omari Omari
  71. Nasma Kidogo vs Khadija Kopa
  72. Leyla Rashid vs Jokha Kasim
  73. Leyla Rashid vs Isha Mashauzi
  74. Leyla Rashid vs Marehemu mke mwenzake (Chiku)
  75. Mzee Yusuph Vs ISSA Kijoti
  76. Mzee Yusuph Vs Khadija Yusuph
  77. Sholo Mwamba vs Man fongo
  78. Kidene Fighter vs Dulla Makabila
  79. Dulla Makabila vs Meja Kunta
  80. Dulla Makabila vs Wasafi media.
  81. Diamond Platnumz vs Darasa
  82. Ibrah Vs Rayvan
*Kwa upande wa Diamond Platnumz bifu mara nyingi zipo kwa upande mmoja ,yani watu wanajiskia tu kumchukia pasipo na sababu ya msingi ila wakipata bahati ya kuwa karibu naye wanagundua Diamond ni mtu mmoja poa sana ndio maana wengi wao nafsi zinawasuta na kuamua kujirudi tukichukulia mifano ya haraka haraka, Ommy Dimpoz,Sheta,Mr Blue, Chege,Darasa, Diva the bawse nk

Umesahau bifu hizi bendwa za miaka ya 2000-2008..

Mwana FA vs Dudubaya (Baada ya kuombana msamaha wakatoa nyimbo inaitwa tuliza kitenesi i think ilikuwa 2004 kama sio 2005)

MwanaFA Vs Wandago ( Baada ya kuimba ingekuwa VIPI jmaa walimind wakaanzisha Bifu na wakamjibu ingekuwa Poa)

Bwana Misosi vs Man x (hii ilikuja baada ya Man x kuiba beat la Bwana misosi nitoke vipi nakuimba kwenye nyimbo yake nimechezea bahati ambayo alimshirikisha dully sykes)

Prof jize vs Chamilion...

Juma Nature vs Jaymo (
jaymo alitembea na Sinta ndo bifu likaanza na nyimbo kibao album nzima ya Ugali ilikuwa na majungu ya sinta tu na jaymo)

PNC vs Babu tale na abdubonge (Tip Top)

Baba levo na Nay wa mitego (
Kama unakumbuka miaka 2005 au 2006 hivi Ney alitoka Bongo records akatoa nyimbo ya Itafahamika akatukana watu akiwemo P funk...Na kipindi hicho baba levo yuko chini ya Pfunk majani akaamua kuanzisha bifu na akamjibu kwa nyimbo inaitwa wanyee mwaka 2006)


Hallow ziko nyingi tuanze na hizi kwanza nitaongeza zingine
 
Solo anajua sana, na atabaki kuwa anajua

nakumbuka lines zake katibua hatari sana kwa ile "usione soo, sema nae, kuhusu kusubiri, kuwa mwaminifu" -ISHI STARS
Solo anajua bhna ,Akiimba mduara anaimba bora kuliko wote na huko hiphop ndo kabisa..
Unaikumbuka Mtoto sio riziki ya Solo thang...
 
Solo anajua sana, na atabaki kuwa anajua

nakumbuka lines zake katibua hatari sana kwa ile "usione soo, sema nae, kuhusu kusubiri, kuwa mwaminifu" -ISHI STARS
Aliwapoteza Sana hata kwenye mtazamo solo aliangamiza Sana... Ile intro tu Hakuna S bila O, L bila O mwingine aitwae Thang bila Solo shupavu awajibike ka mwanaapolo....
Living Legend
 
Bwana Misosi vs Man x (hii ilikuja baada ya Man x kuiba beat la Bwana misosi nitoke vipi nakuimba kwenye nyimbo yake nimechezea bahati ambayo alimshirikisha dully sykes)
Man-X alidai aliitaka beat, akamcheki Bwana Misosi, Misosi akampa beat kwa CD
wimbo ulivyotoka uka-hit sana kuliko ule wa Misosi, ndipo beef lilipoanzia, Misosi akakomaa chinichini mpaka redioni usipigwe
Prof J alisuluhisha
 
Hili ndo bifu Bora Sana kwangu.. [emoji28]
Napenda Sana kwenye Ngoma ya Solo Thang "Travela" anavomdiss Afande Sele na kumuita "Mgambo Sele" hahahah
Hii diss ilikaa kikuda sana. Chanzo cha bifu ni pale Afande aliposhinda shindano la rapa bora na kupewa gari. Solo alidai yeye ndio alistahili kuwa mshindi na sio "Mgambo Sele". Sijajua kama walishapatana. Ila ile "Mtazamo" ndio inabaki kuwa collabo yangu ya muda wote
 
Back
Top Bottom