DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Haha nakumbuka Hiyo...Man-X alidai aliitaka beat, akamcheki Bwana Misosi, Misosi akampa beat kwa CD
wimbo ulivyotoka uka-hit sana kuliko ule wa Misosi, ndipo beef lilipoanzia, Misosi akakomaa chinichini mpaka redioni usipigwe
Prof J alisuluhisha
Sema Antivirus Duh nyimbo zilikuwa na matusi Ya nguoni sana π πNamba 5 antivirus Boss Ruge alibanwa pumbu kishenzi,Usicheze na wanyakyusa
na bado hawajasuluhisha hii, kila leo Rado akihojiwa anaongea kwa hisia kweli dhidi ya FidFid Q na Rado
Hii ishu ya Sinta ni kuwa aliliwa na Moe Technic au na marehemu Cool James mtoto wa Dandu?Umesahau bifu hizi bendwa za miaka ya 2000-2008..
Mwana FA vs Dudubaya (Baada ya kuombana msamaha wakatoa nyimbo inaitwa tuliza kitenesi i think ilikuwa 2004 kama sio 2005)
MwanaFA Vs Wandago ( Baada ya kuimba ingekuwa VIPI jmaa walimind wakaanzisha Bifu na wakamjibu ingekuwa Poa)
Bwana Misosi vs Man x (hii ilikuja baada ya Man x kuiba beat la Bwana misosi nitoke vipi nakuimba kwenye nyimbo yake nimechezea bahati ambayo alimshirikisha dully sykes)
Prof jize vs Chamilion...
Juma Nature vs Jaymo (jaymo alitembea na Sinta ndo bifu likaanza na nyimbo kibao album nzima ya Ugali ilikuwa na majungu ya sinta tu na jaymo)
PNC vs Babu tale na abdubonge (Tip Top)
Baba levo na Nay wa mitego (Kama unakumbuka miaka 2005 au 2006 hivi Ney alitoka Bongo records akatoa nyimbo ya Itafahamika akatukana watu akiwemo P funk...Na kipindi hicho baba levo yuko chini ya Pfunk majani akaamua kuanzisha bifu na akamjibu kwa nyimbo inaitwa wanyee mwaka 2006)
Hallow ziko nyingi tuanze na hizi kwanza nitaongeza zingine
Vivyo hivyo kwa Fid Q, huwa anapenda kuhamisha mada likija swali la RADO na yeye.na bado hawajasuluhisha hii, kila leo Rado akihojiwa anaongea kwa hisia kweli dhidi ya Fid
Solo alimind kwa kuwa kwa namna Top 5 ilivyowekwa, ilikuwa lazima tu ashinde Afande Sele. Yaani top 5 iliwaacha Prof. J na Solo Thang nje, hapo ndio ikaonekana ushindi ni wa kupangwa mezani.Hii diss ilikaa kikuda sana. Chanzo cha bifu ni pale Afande aliposhinda shindano la rapa bora na kupewa gari. Solo alidai yeye ndio alistahili kuwa mshindi na sio "Mgambo Sele". Sijajua kama walishapatana. Ila ile "Mtazamo" ndio inabaki kuwa collabo yangu ya muda wote
mie niko na Rado kwa hili, Fid aliiba mistari bila ridhaa ya mshikaji, kwa miaka zaidi ya 15 jamaa analalamikaVivyo hivyo kwa Fid Q, huwa anapenda kuhamisha mada likija swali la RADO na yeye.
Na RADO ni kuwa hata akienda kutambulisha wimbo mpya, watangazaji wanaachana na wimbo mpya na mahojiano yanakua kuhusu USIULIZE na bifu zima kati yake na Fid Q
Na RADO alionesha ukubwa wake kuwa ni kweli anaweza kuwa ameibiwa kwa kutoa track yenye mistari yenye ujazo wa kutisha. Nafikiri mpaka sasa ile ndio BEST DISS TRACK of all time kwa Tanzaniamie niko na Rado kwa hili, Fid aliiba mistari bila ridhaa ya mshikaji, kwa miaka zaidi ya 15 jamaa analalamika
NAKAZIA HAPA, Nick Dizzo alizidi kuitendea haki zaidi kwa instrumental kaliBEST DISS TRACK of all time
Unaambiwa kina Puff Daddy na BiG walipoisikia Hit Em Up hata nguvu za kuijibu ziliwaishia, yaani wanaona watajibu nini kuipiku ile ngoma.NAKAZIA HAPA, Nick Dizzo alizidi kuitendea haki zaidi kwa instrumental kali
Fid alidai jamaa alibahatisha,Unaambiwa kina Puff Daddy na BiG walipoisikia Hit Em Up hata nguvu za kuijibu ziliwaishia, yaani wanaona watajibu nini kuipiku ile ngoma.
Sasa nafikiri ndicho kilichomkuta Bwana Kubanda Mwanza Mwanza - alipararaizi.
Sasa Soggy ndo alikuwa hamtaki kabisa kusikia na mpaka leo hakubali kuwa Afande ndo mfalme wa Rhymes π πSolo alimind kwa kuwa kwa namna Top 5 ilivyowekwa, ilikuwa lazima tu ashinde Afande Sele. Yaani top 5 iliwaacha Prof. J na Solo Thang nje, hapo ndio ikaonekana ushindi ni wa kupangwa mezani.
Shindano linahusu Vina halafu Solo Thang anatupwa nje!!
Yeah, nakumbuka Soggy alisema kabla ya mchuano haujaanza kwa top 5 kuwa pale lazima Afande apewe ushindi maana aliwekwa na watu wa uwezo wa chini (kivina). Yaani hakukubali kabisaaSasa Soggy ndo alikuwa hamtaki kabisa kusikia na mpaka leo hakubali kuwa Afande ndo mfalme wa Rhymes π π
Hahaha mzee hapo kuna scandel mbili Hapo π π na una kumbukumbu sana umanifanya nimekumbuka mbali sana...Ngoja niziweke sawa hizo scandel ili uzielewe vizuri...Hiyo ilikuwa 2001 mpka 2002..Hii ishu ya Sinta ni kuwa aliliwa na Moe Technic au na marehemu Cool James mtoto wa Dandu?
Dah leo nimekumbuka mbali sana unajua baya mambo ni ya miaka 20 ilopita π πYeah, nakumbuka Soggy alisema kabla ya mchuano haujaanza kwa top 5 kuwa pale lazima Afande apewe ushindi maana aliwekwa na watu wa uwezo wa chini (kivina). Yaani hakukubali kabisaa
Ha ha haa, kubahatisha!! ChemChem na Wana.. track moja iliyoshiba, diss Fid Q, diss ECT..yaani dah..acha tu, marehemu Dee 7 alikuwa anacheka sana Dj Maliz akianza kupiga beat ya usiulize (akii-loop). Ilikuwa lazima D7 aongee, anasema haya sasa msiulizeππFid alidai jamaa alibahatisha,
huwezi bahatisha na bars zote zile ndan ya dk 4 nzima
Aisee umenisanua sana, hii ishu ya J Moe sikua naifahamu. Ila line ya haya sasa nenda kwa J Moe nilijua imekaa kimbwembwe tu kumbe ilikua ina maana.Hahaha mzee hapo kuna scandel mbili Hapo π π na una kumbukumbu sana umanifanya nimekumbuka mbali sana...Ngoja niziweke sawa hizo scandel ili uzielewe vizuri...Hiyo ilikuwa 2001 mpka 2002..
Ishu ilianzia Kwa Mtoto wa dandu (Cool James) kweli ila ilikoishia Ni Kwa Jaymo
Ishu ilikuwa Hivi kipindi cool james (Mtoto wa dandu) ndo ametoka sweeden na vihela hela kibao wakishua tena akaja akaanza kufanya mziki na nyimbo zake pale kwa Master J..
Nakumbuka kipindi hicho Mwanamke aliyekuwa moto kweli kweli ndo alikuwa Sinta, Sasa jamaa kuona hivyo akamwita sinta mwanza kwenye kufnya naye Shooting ya nyimbo yake inaitwa mapenzi kama sijakosea sana alitka awe kama video vixen,
unamkumbuka rafiki yake na Sinta kipindi hicho walikuwa wanaigiza naye alikuwa anaitwa Nina (Mdada fulan alikuwa ana macho fulan hivi) Ndo walienda naye sasa shida ikaja Nina alipobanwa sana na Nature aliporudi Bongo baada ya scandel kuzagaa mwenye magazeti ya udaku ya shigongo ikabidi aropoke tu Mzigo wake umeliwa na Dandu π π
kipindi hicho wanashoot Nature alikuwa south na scandel ya JMo ilikuwa bado iko chini chini bado haijawaza hadharani sana..na haikuwa confirmed
na ndo maana kwenye ile nyimbo ya inaniuma sana
kuna kipande anasema
"Wengine ni Rafiki zangu nikiwataja huwezi kuamini"
ningekuwa na Muda ningekuandikia Hadi mistari yote Inavyochana watu humo nikakuchambulia vizuri..
Sasa nature ikamuumiza ndo akaingia Studio
katoka na Nyimbo Ya INANIUMA SANA..
sasa Hapa na pale wakarudiana ndo akatoa ile nyimbo kama unaifahamu ya Aah wapi (Sijui kama itawezekana,Mtu niliyempenda sana,Tukaja tukafarakana kwa sababu wanachonga sana)
sasa Kilichomuuma Sana mpaka akatoa nyimbo Mbili Double za Sitaki Demu na remix yake...
ni baada ya kuthibitisha kwamba Sinta anachukuliwa na Jaymo π π
hapa ndo aliamua kuacha kabisa na hii ndo scandel na zingine zilizifuata ndo zilomfanya mpaka sinta akaondoka nchini maaana watu kadhaa walipiga Saini pale ..ahaah
ukisikia vizuri nyimbo ya Sitaki Demu verse ya kwanza jamaa anamalizia amasema " haya Sasa nimeghairi nenda kwa huyo Jaymo"
Dah halafu ujue Guru Jamaa Hazeeki nilikutana naye siku moja mpaka nikashangaa Dah...Ha ha haa, kubahatisha!! ChemChem na Wana.. track moja iliyoshiba, diss Fid Q, diss ECT..yaani dah..acha tu, marehemu Dee 7 alikuwa anacheka sana Dj Maliz akianza kupiga beat ya usiulize (akii-loop). Ilikuwa lazima D7 aongee, anasema haya sasa msiulizeππ
Fid angekuwa Babu Tale enzi zile angezuia kabisa hii ngoma isichezwe radioni, kama kina Gulu walivyokuwa wanamfanyia Mr. Blue baada ya kuondoka G Records