Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

Solo alimind kwa kuwa kwa namna Top 5 ilivyowekwa, ilikuwa lazima tu ashinde Afande Sele. Yaani top 5 iliwaacha Prof. J na Solo Thang nje, hapo ndio ikaonekana ushindi ni wa kupangwa mezani.

Shindano linahusu Vina halafu Solo Thang anatupwa nje!!
Namkubali sana Msafiri Kondo kusema kweli. Ila sikuona mbaya Afande kushinda
 
Namkubali sana Msafiri Kondo kusema kweli. Ila sikuona mbaya Afande kushinda
Afande hakuwa na uzito kulinganisha na marapa wote wa kipindi kile Japo kweli nyimbo yake ya Darubini ilikiwa kali ila shida ilianza walipowatoa baadhi ya wasanii na kutangaza Watu wao
 
Man-X alidai aliitaka beat, akamcheki Bwana Misosi, Misosi akampa beat kwa CD
wimbo ulivyotoka uka-hit sana kuliko ule wa Misosi, ndipo beef lilipoanzia, Misosi akakomaa chinichini mpaka redioni usipigwe
Prof J alisuluhisha
misosi nitoke vipi imelia kuliko hiyo ya man x nimechezea bahati.Nitoke vipi ni kali mno kuliko ya huyo mtoto wa keko.
 
Aliwapoteza Sana hata kwenye mtazamo solo aliangamiza Sana... Ile intro tu Hakuna S bila O, L bila O mwingine aitwae Thang bila Solo shupavu awajibike ka mwanaapolo....
Living Legend
Vidato sita nilivyopitia,
Ndivyo vinavyonisaidia,
Mbunifu ukizingatia,
Hata wakinibania,
Ni kipaji tu,
Ni mtazamo tu,
Msikasirike washikaji hayo ni mawazo tu.
 
Nadhani aliposema "haya sasa nimeghairi nenda kwa huyo Jay Mo " alikuwa analazimisha vina tu
 
P Funk alimpa beat Jose chamillion bila ridhaa ya J wa Mitulinga
Hii haikua shida. Shida ni kuwa P Funk alilipwa na Chameleone pamoja na kampuni ya movie ambao walitumia wimbo wa Bomboclat na akazipiga hela zote bila kumtaarifu wala kumgawia Prof. Jay. Ilikua kitu kama $ 50,000 hivi mwaka 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…