Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

NAKAZIA HAPA, Nick Dizzo alizidi kuitendea haki zaidi kwa instrumental kali
Aisee nilikua najiuliza Nani alitengeneza Ile beat kumbe ni Niki Dizo.. maana baada ya Castro Ponella kupata majanga pale Baucha Record sikujua Nani alikua produce wa USIULIZE....
Sema Rado aliua Sana alimchana vibaya Fareed haahhahah
 
Umesahau bifu hizi bendwa za miaka ya 2000-2008..

Mwana FA vs Dudubaya (Baada ya kuombana msamaha wakatoa nyimbo inaitwa tuliza kitenesi i think ilikuwa 2004 kama sio 2005)

MwanaFA Vs Wandago ( Baada ya kuimba ingekuwa VIPI jmaa walimind wakaanzisha Bifu na wakamjibu ingekuwa Poa)

Bwana Misosi vs Man x (hii ilikuja baada ya Man x kuiba beat la Bwana misosi nitoke vipi nakuimba kwenye nyimbo yake nimechezea bahati ambayo alimshirikisha dully sykes)

Prof jize vs Chamilion...

Juma Nature vs Jaymo (
jaymo alitembea na Sinta ndo bifu likaanza na nyimbo kibao album nzima ya Ugali ilikuwa na majungu ya sinta tu na jaymo)

PNC vs Babu tale na abdubonge (Tip Top)

Baba levo na Nay wa mitego (
Kama unakumbuka miaka 2005 au 2006 hivi Ney alitoka Bongo records akatoa nyimbo ya Itafahamika akatukana watu akiwemo P funk...Na kipindi hicho baba levo yuko chini ya Pfunk majani akaamua kuanzisha bifu na akamjibu kwa nyimbo inaitwa wanyee mwaka 2006)

Hallow ziko nyingi tuanze na hizi kwanza nitaongeza zingine
Mwana FA na Dudubaya nakumbuka Sana kwenye ile video ya HAWAJUI ya FA na Jide... Hahahaah

FA na Wandago... Sema ingekua Poa ilitisha zaidi ya ingekua vipi...

Man X na Bwana Misosi... Nilipenda zaidi Ngoma ya Man X "Nimechezea bahati" dah nadhani kwakua niliwahi kukumbana na inshu kama hiyo ya man X nilipendwa na mtoto wa "don" but nimkazingua sana.. baada ya kutemwa nilikua naisikiliza hiyo Ngoma asubuhi Hadi jioni...
Dah I'm sorry P ulinipenda but nilikua sifai...
 
Ila bora hukufikisha mara 60 si umesikiliza mwenzako kasikiliza Dear x ya Mario akajinyonga..
 
Hizo zingine ni cha mtoto. Bifu kubwa kuliko zote ilikuwa ni kati ya Zay B na Sister P, ilibidi waandishi wa habari wawakutanishe na kuwapatanisha. Wale walitungiana nyimbo kupeana makavu. Ugomvi wao ulikuwa ni burudani tosha kwa mashabiki wao. Kuna pia Nasma Kidogo na Khadija Kopa walipeana maneno jinsi walivyoumbika kwenye taarabu zao. Mabifu mengine ilikuwa ni burudani tupu na hayakuwa na athari za kuumizana japo ilikuwa ni kweli wanamaanisha na wako serious na sio show tu
 
Aliwapoteza Sana hata kwenye mtazamo solo aliangamiza Sana... Ile intro tu Hakuna S bila O, L bila O mwingine aitwae Thang bila Solo shupavu awajibike ka mwanaapolo....
Living Legend
Kwangu mimi naeza sema Sele aliua sana ktk ule wimbo.

Hebu twende sawa na line Ya Sele.

Ahasante prf Jay majani na ulamaa mmegusa ninapopataka

nami kwenye mtazamo nina jambo ninataka kuweka

Mana kila kukicha mcs wanaongezeka

Nasema yes very nice lap kama zehebu na mcs kama wafuasi

na huu wingi wa wasanii inaonyesha ni dini safi yaani imekubalika,

waumini tuko wengi ila bado ninashaka sijapata uhakika wote tumesadiki au wengine ni fake mmetumwa kama mamluki

, maana hamna maana mna rap mnavyorap mistari imekosa vina yenye vina haina maana na kila mnapokaa mnapenda kutetana

mnapenda sengenyana kwa jinsi ninavyoelewa mwishoni tutatukana ama inawezeka mwishoni tukaja chinjana na wote tunaorap tuonekane hatuna maana

wapi ilipo taarabu ilikuja kwa kishindo baada ya malumbano mwishoni ikafa kibudu

, shabiki piga simu ninani tutamlaumu prdcer anayerekodi ama dj kwenye kipindi
 
Imesimama sana..
 
Aisee nilikua najiuliza Nani alitengeneza Ile beat kumbe ni Niki Dizo.. maana baada ya Castro Ponella kupata majanga pale Baucha Record sikujua Nani alikua produce wa USIULIZE....
Sema Rado aliua Sana alimchana vibaya Fareed haahhahah
ujue Nick alipewa airtime tu pale baucha, hakuwa full wala part timer, Nick alikuja na zile kick
Ally mwenyewe ndiyo akaingiza bassline
 
#40 "
"""Amani Kwa Kaka Voda milionea...
Mwambie mdogo wako aache poda ale mmea" Jay Moo diss Langa
"

"""Amani Kwa Kaka Voda milionea ...
Mwambie mdogo wako aache ushoga na umbeaa" Langa anamjibu Jay Moo

Hii ilikuwa ya moto sana,
Rest in peace Langa
 
Hii diss ilikaa kikuda sana. Chanzo cha bifu ni pale Afande aliposhinda shindano la rapa bora na kupewa gari. Solo alidai yeye ndio alistahili kuwa mshindi na sio "Mgambo Sele". Sijajua kama walishapatana. Ila ile "Mtazamo" ndio inabaki kuwa collabo yangu ya muda wote
Afande hakustahili ile tuzo
 
ujue Nick alipewa airtime tu pale baucha, hakuwa full wala part timer, Nick alikuja na zile kick
Ally mwenyewe ndiyo akaingiza bassline
RADO anasema walienda BAUCHA sababu kwenye studio yao kina RADO mmiliki alizingua kwa kuondoka na hard disc yenye nyimbo walizorekodi, ikiwa ni pamoja na usiulize

View: https://youtube.com/clip/UgkxMcfviR7jLlAVjIfJVDS8vJZgdSBQbnCe?si=tJh7ScUTQrbuh4I4

View: https://youtube.com/clip/Ugkx2MfSA_StlgEDFUECDDNlUUHWtdnKM-ij?si=7H_LQ2qqu-zelSFT
 
Solo aliamini kama sio yeye basi walau Nigga J a.k.a professor Jay alistahili kupewa ushindi Ila mgambo Sele kushinda aliona n upendeleo wa wazi...

Ndo maana kwenye Ngoma ya "Kilio Changu" Solo alieleza hawezi shiriki tena hata zawadi waweke Meli maana mshindi hua ameandaliwa tayari...
Sure. Kwenye huo wimbo aliainisha kila kitu kuhusu zile tuzo. Baada ya hapo akasepa kuelekea Uingereza ambnako yupo mpaka leo
 
Back
Top Bottom