Hizi hapa dalili chache kwamba DP world na mengine si madili mazuri

Wanafiki wanafanana nawewe wanyeuchungu walitoka kwenye yale maandamano wewe ulikua wapi hebu kama mmeshindwa kuipambania nchi yako kaa kimya serikali ifanye inayoyajua
 
Kuna SERIKALI, WATU na KICHWA CHA SIMBA.

Mimi niko upande wa kichwa cha Simba. Huku hakunaga wanafiki. #RIP JPM

#LionOfAFrica
f261689173b6a0da8545320f375efd86--huge-beard-beard-styles.jpg
 
Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu

1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini Magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa

2. Enzi za Magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?

3. DP world kama inayo faida tunahara ya nini kuipitisha haraka haraka?

4. Kwanini nguvu kubwa imetumika kuwapanga waandishi wa habari ili hali kama jambo ni la kheri?

5. Nani atalipa ule mkopo uliokopwa kuendeleza bandari wakati huo bandari itachukuliwa na kuendelezwa na DP world?

6. Kuna ubaya gani mkataba ukitaja muda angalau wa miaka kumi kumi ili Rais mwingine anapoingia madarakani aweze kuboresha au kuondoa?

7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?

8. Bajeti ya kuwahamisha wa masai loliondo alitoa nani na mkataba wa muwekezaji kule unasemaje?
9. Ile ndege kubwa ya mizigo KIA mwaka jana ni kweli ilileta mabegi ya wataliii?

10. Kama gas ipo, kwanini serikali haitoi vibari kuwepo Gas station za kutosha hadi mikoani (nani anafaidika na soko la mafuta haya yanayopanda bei kwa kisingizio cha vita na kuzuia kujengwa vituo vingi vya gas?)

11. Inadaiwa hata michango ya wabunge kupitisha DP world walichangia kwa kupangwa! Akiwemo Halima mdee ambaye alipangwa kusema vile kimchongo ili spika apenyeze ufafanuzi!
Kumekuchaaa Kumekuuuchaaa
 
Kuna SERIKALI, WATU na KICHWA CHA SIMBA.

Mimi niko upande wa kichwa cha Simba. Huku hakunaga wanafiki. #RIP JPM

#LionOfAFricaView attachment 2665164
kumtukuza marehemu JPM nikuonyesha wewe nimnafiki mkubwa kabisa kwasababu Mfumo wote huu kautengeneza yeye kwaajili yakupenda kutukuzwa akaweka watu wadhaifu sasa kafa kaacha vilaza wasio namsaada kwataifa
 
Wadhaifu wote alikua anawatumbua. Na wakati wa enzi zake , hawa unaowaita wadhaifu sasa walikua Wafanyakazi wazuri tu. Sema walikua wamevaa vazi la kondoo kwà nje ,..lakini ndani la mbwa mwitu
 
Acha unafiki magufuli sialikua kila sekta yeye wizara zote waziri yeye mkuu wa Wilaya yeye CAG yeye kilakitu yeye akawa piga waliokua nakauwezo kakumshauli kukawa namakundi yasiyo julikana au yupi unae muongelea?
 
Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu

1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini Magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa

2. Enzi za Magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?

3. DP world kama inayo faida tunahara ya nini kuipitisha haraka haraka?

4. Kwanini nguvu kubwa imetumika kuwapanga waandishi wa habari ili hali kama jambo ni la kheri?

5. Nani atalipa ule mkopo uliokopwa kuendeleza bandari wakati huo bandari itachukuliwa na kuendelezwa na DP world?

6. Kuna ubaya gani mkataba ukitaja muda angalau wa miaka kumi kumi ili Rais mwingine anapoingia madarakani aweze kuboresha au kuondoa?

7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?

8. Bajeti ya kuwahamisha wa masai loliondo alitoa nani na mkataba wa muwekezaji kule unasemaje?
9. Ile ndege kubwa ya mizigo KIA mwaka jana ni kweli ilileta mabegi ya wataliii?

10. Kama gas ipo, kwanini serikali haitoi vibari kuwepo Gas station za kutosha hadi mikoani (nani anafaidika na soko la mafuta haya yanayopanda bei kwa kisingizio cha vita na kuzuia kujengwa vituo vingi vya gas?)

11. Inadaiwa hata michango ya wabunge kupitisha DP world walichangia kwa kupangwa! Akiwemo Halima mdee ambaye alipangwa kusema vile kimchongo ili spika apenyeze ufafanuzi!
Tanzania yetu 🎵
 
7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?
pesa,marupurupu ya kila kikao si mchezo... wakisikia ni kikao tu uwe nyumbani uwe wapi fungu lako unapata.
 
Back
Top Bottom