The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT.
Uchaguzi uliojaa hila ni haramu jiepushe nao..
Uchaguzi uliojaa hila ni haramu jiepushe nao..
OKTOBA TUNATIKI
Don't tryJe nisiposhiriki Kwa namna yyt je itakuwajee nayo🤔🤔
Mwaka huu watahaonga sana pesa watu wakapige kura.Mashetani yote yatatiki Oktoba. Hakuna mwenye akili timamu, mtu mwema, mpenda haki, mwenye Roho wa Mungu ndani yake, ataungana na wafuasi wa ibilisi oktoba kwenda kubariki uovu.
Jitenge na ibilisi Chama Cha Mashetani ili uiepuka laana ya Mungu wa haki.
Sijaandika wala kutamka maneno kama aya..yapuuzwe kabisa
Sisi tunaangalia ujumbe siyo aliyeandikaSijaandika wala kutamka maneno kama aya..yapuuzwe kabisa
Na watatoana roho wenyewe Kwa wenyewe mpk waisheee..Mwaka huu watahaonga sana pesa watu wakapige kura.
Inasikitishs sanaOKTOBA TUNATIKI
Sasa itakuwaje na yule mtume alikuwa anashiriki
Kweli kamanda ata kama ameandika Karua ilimradi ni ujumbeSisi tunaangalia ujumbe siyo aliyeandika