GE2025 Hizi hapa dhambi za uchaguzi ziepuke, utakufa vibaya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Je nisiposhiriki Kwa namna yyt je itakuwajee nayo🤔🤔
 
Mm ndio yule waliyefekaa jina langu kulee kisesa ingali wananchi wananikubalii
 
Siku hiyo nitabaki zangu nyumbani kwa ajili ya mapumziko. Kamwe sitapoteza muda wangu kushiriki kwenye hayo maigizo yao ya Bongo muvi.
 
OKTOBA TUNATIKI


Mashetani yote yatatiki Oktoba. Hakuna mwenye akili timamu, mtu mwema, mpenda haki, mwenye Roho wa Mungu ndani yake, ataungana na wafuasi wa ibilisi oktoba kwenda kubariki uovu.

Jitenge na ibilisi Chama Cha Mashetani ili uiepuka laana ya Mungu wa haki.
 
Oktoba tunatiki haina shida kabisa........hapo penye kuhesabu kura na kutangaza mshindi ndipo penye tatizo
 
Mwaka huu watahaonga sana pesa watu wakapige kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…