Hizi hapa ndizo sababu hasa zilizopelekea vijana wa kitanzania kuandamana.

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
22,569
Reaction score
43,614
Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha.
Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa.

Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana.

Kukithiri kwa vitendo vya utekaji,uuaji uumizaji wa wananchi hasa wanao sema ukweli juu ya maovu ya serikali.

Udanganyifu na uporaji wa mfumo mzima wa uchaguzi,hii nchi hakuna tena uchaguzi huru na wahaki.

Ukosefu wa ajira kwa vijana,huku ninyi mkigawana vyeo kwa undugu.

Rushwa kutamalaki hasa katika utoaji haki(mahakamani & ofisi za umma).

Mahakama haziko huru zinapewa maelekezo kupindisha haki(Refer statement ya RA).

Vyombo vya ulizi na usalama kugeuka adui wa wanachi katika matukio ya utekaji,uonevu,uuaji na hakuna uchunguzi huru polisi hawaezi kujichunguza(Refer Ripoti ya uchunguzi wa Mzee Ali Kibao iko wapi hadi leo).

Viongozi kuishi maisha ya anasa huku wananchi walipakodi wakiteseka na kuumizwa kwa kodi nyingi zisizo na maana yoyote.

Kukosekana kwa huduma za msingi miaka 60 ya uhuru bado maeneo mengi hayana maji safi na salama,umeme wa uhakika,hospitali madawa hakuna ila ninyi mkiugua mtatibiwa nje ya nchi ninyi na familia zenu.

Hakuna mihimili inayojitegema nchi hii zaidi ya ngonjela za kwenywe makaratasi rais anateua jaji mkuu(hawa wanalinda maslahi ya mteuzi wao).

Hakuna demokrasia ya vyama vingi ukiondoa chadema ya sasa vyama vyote vilivyobaki ni mpango wa kado wa ccm ili kufifisha demokrasia ya kweli.

Hakuna usawa katika muungano huu,ni kama vile Tanganyika imebeba jukumu lote la zanzibar huku Mtanganyika akiwa nuzu Mtanzania(Hana haki Zanzibar kama ilivyo kwa mzazibar kuwa na haki zote Tanzania).

Kilio cha muda mrefu ni kupata katiba mpya ila kwakujua katiba mpya ni msumali wa mwisho wa kwemye jeneza la ccm ndio maana hamtaki kabisa uwepo wa katiba mpya ili muendelew kutawala na kuumiza raia.

HIzo ni baadhi ya haki amabazo vijana wa Tz wanazitaka.

Ila kwa kua madara ya kulevya ni matamu hamuwezi zingatia wala kuzofanyika kazi hoja hizo.

Sote tunahitaji amani ila haki ndio iwe msingi wake.

Mungu ibariki Tanganyika.
 
Wenyewe sababu zao ni hizi hapa:-
1. Waandamanaji walitoka nchi jirani (ipi? Haijulikani)
2. Waandamanaji walifuata tu mkumbo. (Siyo Kitila Mkumbo, au Lameck Mkumbo)
3. Waandamanaji walilipwa fedha (na nani? Na wapi? Haijulikani)
4. Waandamanaji walihasasishwa na kauli za kisiasa (tutakinukisha kweli kweli!)
5. Waandamanaji walihamasishwa na TEC.
6. Waandamanaji walitaka kuchukua dola kwa nguvu.

By the way, mtoa mada; who are you?
Kiukweli umeandika hoja za kweli na pia zenye mashiko.
 
Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha.
Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa.

Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana.

Kukithiri kwa vitendo vya utekaji,uuaji uumizaji wa wananchi hasa wanao sema ukweli juu ya maovu ya serikali.

Udanganyifu na uporaji wa mfumo mzima wa uchaguzi,hii nchi hakuna tena uchaguzi huru na wahaki.

Ukosefu wa ajira kwa vijana,huku ninyi mkigawana vyeo kwa undugu.

Rushwa kutamalaki hasa katika utoaji haki(mahakamani & ofisi za umma).

Mahakama haziko huru zinapewa maelekezo kupindisha haki(Refer statement ya RA).

Vyombo vya ulizi na usalama kugeuka adui wa wanachi katika matukio ya utekaji,uonevu,uuaji na hakuna uchunguzi huru polisi hawaezi kujichunguza(Refer Ripoti ya uchunguzi wa Mzee Ali Kibao iko wapi hadi leo).

Viongozi kuishi maisha ya anasa huku wananchi walipakodi wakiteseka na kuumizwa kwa kodi nyingi zisizo na maana yoyote.

Kukosekana kwa huduma za msingi miaka 60 ya uhuru bado maeneo mengi hayana maji safi na salama,umeme wa uhakika,hospitali madawa hakuna ila ninyi mkiugua mtatibiwa nje ya nchi ninyi na familia zenu.

Hakuna mihimili inayojitegema nchi hii zaidi ya ngonjela za kwenywe makaratasi rais anateua jaji mkuu(hawa wanalinda maslahi ya mteuzi wao).

Hakuna demokrasia ya vyama vingi ukiondoa chadema ya sasa vyama vyote vilivyobaki ni mpango wa kado wa ccm ili kufifisha demokrasia ya kweli.

Hakuna usawa katika muungano huu,ni kama vile Tanganyika imebeba jukumu lote la zanzibar huku Mtanganyika akiwa nuzu Mtanzania(Hana haki Zanzibar kama ilivyo kwa mzazibar kuwa na haki zote Tanzania).

Kilio cha muda mrefu ni kupata katiba mpya ila kwakujua katiba mpya ni msumali wa mwisho wa kwemye jeneza la ccm ndio maana hamtaki kabisa uwepo wa katiba mpya ili muendelew kutawala na kuumiza raia.

HIzo ni baadhi ya haki amabazo vijana wa Tz wanazitaka.

Ila kwa kua madara ya kulevya ni matamu hamuwezi zingatia wala kuzofanyika kazi hoja hizo.

Sote tunahitaji amani ila haki ndio iwe msingi wake.

Mungu ibariki Tanganyika.
Hizo sababu ni za kweli lakini hawakufanya maandamano, instead walikwenda kuharibu miundombini ya umma na kuiba maduka ya watu.

Unapotumia njia ovu kutafuta haki inakuwa ni vurugu inayohatarisha usalama wa nchi, lazima uchezee kichapo
 
Karibu
1000622851.jpg
 
wavimba_20251206_072626_0000.png

Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
 
Na serekali imeshatambua hao wahalifu waandamanaji uchwara kuwa tayari wanazo silaha kwahiyo nguvu itakayotumika itakua nguvu inayoendana na nguvu ya hao wahalifu wezi na waharibifu wa mali.
 
Hizo sababu ni za kweli lakini hawakufanya maandamano, instead walikwenda kuharibu miundombini ya umma na kuiba maduka ya watu.

Unapotumia njia ovu kutafuta haki inakuwa ni vurugu inayohatarisha usalama wa nchi, lazima uchezee kichapo

Ndipo Samia akaona basi Watanganyika wafi*rwe ili roho yake ifurahi kwa kuwa kuna mali ziliharibiwa na Watanganyika wengine wakomeshwe kwa kutokupatiwa miili ya ndugu zao ili waizike kwa heshima.
 
View attachment 3511909
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
Wakati huo Samia akifurahia ufi*raji unaofanywa na askari wake, hatuwezi kujenga taifa wakati rais wa nchi analibomoa.
 
Umesahau kuna kundi liliandamana kwa kufuata mkumbo na tamaa ya mali za watu

Tuepuke double standard
 
View attachment 3511909
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
Haya yote ni kujilisha upepo endapo
Utekaji na mauaji havitakoma.
Ubambikianaji kesi havitakoma
Wizi wa chaguzi hautakoma.
 
Back
Top Bottom