Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja
Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.
1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao
Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.