Hizi hapa ni Sababu za msingi kwa Watu wote kuichangia Chadema ili kusambaza "NO REFORM NO ELECTION"

Hizi hapa ni Sababu za msingi kwa Watu wote kuichangia Chadema ili kusambaza "NO REFORM NO ELECTION"

Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja

View attachment 3235360View attachment 3235361

Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.

1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao

View attachment 3235362

Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
Hii imeenda. Sisi watumishi wa Mungu, tuko nyuma ya jambo hili. Na tunaamini na tunajua Mungu Yuko upande wetu. Tutashinda yote katika Mungu. Aamin!
 
Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja

View attachment 3235360View attachment 3235361

Lisu alisema makao makuu kuna pesa kibao ila hazifiki matawini zinaishia makao makuu kipindi cha Mbowe

Si achukue hizo pesa nyingi zilizoko.makao makuu azitumie kudai hicho aitacho haki kwa nini achangishe wakati kipindi cha kampeni alisema yeye kama makamu mwenyekiti anajua ziko nyingi mno
 
Si achukue hizo pesa nyingi zilizoko.makao makuu axitumie kudai hivho aitacho haki kwa nini achangishe wakati kipindi cha kampeni alisema yeye kama makamu mwenyekiti anajua ziko nyingi mno
Extrovert likes [thanks] zako siku hizi zimeshuka thamani sana. Hata hii?
 
Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja

View attachment 3235360View attachment 3235361

Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.

1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao

View attachment 3235362

Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
hapo mmefeli pakubwa sanaaa hakuna mtu anawaamini tena kuwachangia mmeshakula nyingi sana hizo hapo tena mmeandika jina la lissu yaaanizianenda kuwa zinaliwa kama zilivyo tafuteni mapopoma wenzenu wakuwachangisha tumeshawashtukia muda sana wizi mtupu huo
 
Anayechangisha hela siyo Lissu ni Chadema
Chadema inachangishaje wakati Lisu aliaminisha wapiga kura wajumbe kuwa makao kuna pesa kibao yeye kama makamu mwenyekiti anajua ila zinaliwa na Mbowe na genge lake haziendi hata matawini na akapewa kura kuwa mwenyekiti

Akajidai Yeye Lisu akishika madaraka ya uenyekiti atahakikisha hela zinaenda matawini

Sasa anataka kumchangisha nani tena? Wakati makao makuu kuna mipesa kibao? Utapeli una nukta hauna maisha

Hizo pesa alizosema ziko makao makuu zitumike hizo.Hachangishwi mt

Wana Chadema msikubali kuchanga kama vichwa vyenu viko vizuri hiyo itasaidia kukomesha siasa za ulaghai kusaka vyeo au kura.au uteuzi ndani ya Chadema

Kupambana na ulaghai na Utapeli kunatakiwa kuanzia ndani ya vyama

Wanachadema mkakamalieni Lisu hakuna michango tunataka mipesa iliyoko.makao.makuu ije matawini na kanda
 
Back
Top Bottom