Hizi hapa ni Sababu za msingi kwa Watu wote kuichangia Chadema ili kusambaza "NO REFORM NO ELECTION"

NAFURAHI KUONA WATANZANIA WAMEAMKA SASA, KABLA YA KUCHANGA TUHOJI ZILE ZOTE ZA AWALI, CHADEMA NI TAASISI, INAENDESHWA KWA MAHESABU, TUPIGIWE MAHESABU NA MATUMIZI, NDIPO TUANZE KUCHANGIA UPYA, PIA MBOWE ASIANGUSHIWE JUMBA BOVU, KWA SABABU CDM NI TAASISI
chedema hatutaki michango ya wachawi maccm mchango kamchukulie fomu mgombea urais wenu
 
Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja

View attachment 3235360View attachment 3235361

Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.

1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao

View attachment 3235362

Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
Tupo pamoja na tutachangia chama chetu wako wapi waliodai chadema ni chama cha family
 
Mleta mada ubarikiwe sana nilikuwa nawaza napata wapi namba ya kuchangia ili nami niweke kile kidogo ntakachojaaliwa ili tujaribu ku-push chama mkombozi wa wa Tanzania ila umesaidia sana acha wenye uchungu tuchangie!
Jioni ya leo ntaweka japo laki tano then huko mbeleni Mungu akijaalia ntaongeza
 
NAFURAHI KUONA WATANZANIA WAMEAMKA SASA, KABLA YA KUCHANGA TUHOJI ZILE ZOTE ZA AWALI, CHADEMA NI TAASISI, INAENDESHWA KWA MAHESABU, TUPIGIWE MAHESABU NA MATUMIZI, NDIPO TUANZE KUCHANGIA UPYA, PIA MBOWE ASIANGUSHIWE JUMBA BOVU, KWA SABABU CDM NI TAASISI
Sawa kabisa. Maneno matupu yametuchosha!
 
Back
Top Bottom