Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 763
- 680
tuliza yas mix kama huna mchangoMichango ya gari ,Join the chain za mama abdul ziko wapi zisaidie chama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliza yas mix kama huna mchangoMichango ya gari ,Join the chain za mama abdul ziko wapi zisaidie chama!
chedema hatutaki michango ya wachawi maccm mchango kamchukulie fomu mgombea urais wenuNAFURAHI KUONA WATANZANIA WAMEAMKA SASA, KABLA YA KUCHANGA TUHOJI ZILE ZOTE ZA AWALI, CHADEMA NI TAASISI, INAENDESHWA KWA MAHESABU, TUPIGIWE MAHESABU NA MATUMIZI, NDIPO TUANZE KUCHANGIA UPYA, PIA MBOWE ASIANGUSHIWE JUMBA BOVU, KWA SABABU CDM NI TAASISI
Tupo pamoja na tutachangia chama chetu wako wapi waliodai chadema ni chama cha familyKwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja
View attachment 3235360View attachment 3235361
Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.
1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao
View attachment 3235362
Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
Swaga za kina mauzinde ndio zinajitokeza sasa!tuliza yas mix kama huna mchango
Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja
View attachment 3235360View attachment 3235361
Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.
1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao
View attachment 3235362
Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
Mleta mada ubarikiwe sana nilikuwa nawaza napata wapi namba ya kuchangia ili nami niweke kile kidogo ntakachojaaliwa ili tujaribu ku-push chama mkombozi wa wa Tanzania ila umesaidia sana acha wenye uchungu tuchangie!Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja
View attachment 3235360View attachment 3235361
Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.
1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao
View attachment 3235362
Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
Sawa kabisa. Maneno matupu yametuchosha!NAFURAHI KUONA WATANZANIA WAMEAMKA SASA, KABLA YA KUCHANGA TUHOJI ZILE ZOTE ZA AWALI, CHADEMA NI TAASISI, INAENDESHWA KWA MAHESABU, TUPIGIWE MAHESABU NA MATUMIZI, NDIPO TUANZE KUCHANGIA UPYA, PIA MBOWE ASIANGUSHIWE JUMBA BOVU, KWA SABABU CDM NI TAASISI
Karibu sanaSawa kabisa. Maneno matupu yametuchosha!