Hizi hapa ni Sababu za msingi kwa Watu wote kuichangia Chadema ili kusambaza "NO REFORM NO ELECTION"

chedema hatutaki michango ya wachawi maccm mchango kamchukulie fomu mgombea urais wenu
 
Tupo pamoja na tutachangia chama chetu wako wapi waliodai chadema ni chama cha family
 

Mleta mada ubarikiwe sana nilikuwa nawaza napata wapi namba ya kuchangia ili nami niweke kile kidogo ntakachojaaliwa ili tujaribu ku-push chama mkombozi wa wa Tanzania ila umesaidia sana acha wenye uchungu tuchangie!
Jioni ya leo ntaweka japo laki tano then huko mbeleni Mungu akijaalia ntaongeza
 
Sawa kabisa. Maneno matupu yametuchosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…