Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa.
_____________

Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery systems, 107 multiple launch rocket systems, 55 anti-aircraft defense systems, 135 helicopters, 150 aircraft, 76 fuel tanks, 96 UAVs and 7 boats.

russia.jpg

April-5-2-1024x1024.png
 
Kwa iyo mmeanzisha uzi wa kujifariji.drone za mturuki ni zero kabisa.waliozinunua wanatamani kuzirudisha
Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa.
_____________

Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery systems, 107 multiple launch rocket systems, 55 anti-aircraft defense systems, 135 helicopters, 150 aircraft, 76 fuel tanks, 96 UAVs and 7 boats.
April-5-2-1024x1024.png
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
 
Ungekuwa na akili ungejua kuwa kwa sheria za kimataifa, yatajengwa na Russia. Mpaka leo hii Uganda bado wanailipa Tanzania hasara ya vita ya Kagera. Russia ina mabilioni ya dola ambayo yako nchi za magharibi ambazo ziko frozen kwa sasa. Zinaweza kujenga kama Ukraine 10 hivi. Sema tu waliopoteza maisha, hakutakuwa na jinsi ya kuyarudisha.
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
Ukraine itajengwa vizuri sana tu,itapatiwa misaada ya kutosha,shida ni kwa Russia ambae karudishwa nyuma sana ki uchumi ukizingatia hata katika top 15 hakuwepo tangia mwanzo,si muda mrefu atapumulia machine ki uchumi na hivi Vita ndiyo kwanza kama inaanza,uwezo wa kuendesha vita kwa muda mrefu huku akiwa kapigwa sanctions za kutosha hana
 
Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa.
_____________

Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery systems, 107 multiple launch rocket systems, 55 anti-aircraft defense systems, 135 helicopters, 150 aircraft, 76 fuel tanks, 96 UAVs and 7 boats.
April-5-2-1024x1024.png
Hakuna vita isiyo na hasara lakini discipline lazima. Hata sisi TZ tulipoingia vitani 78/79 tulipata hasara kubwa tu, lakini discipline na majirani zetu ipo. So sioni hoja yako ya msingi labda udadavue vizuri nikuelewe.
 
Back
Top Bottom