RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Ww jamaa jaribu kusoma maana haya yote yana sababishwa na elimu duni uliyo nayo.Ngoja nikwambie basi naona unataka kuleta joto., Katika mazungu kule Turkey, Urusi walikubali kulipa izo gharama zote wajenge wao ukraine lakini Donbas iwe majibo huru na cremea iwe sehemu ya russia lakini Ukraine walikataa wakasema hela za kujenga ukraine tunazo na tutajenga wenyewe, walikataa kataka kata na wakasema hawako tayari kusamehe hata cm 1 ya majimbo ya Donbas na cremea kuchukuliwa kama sehemu ya russia, sasaiv ninavyoandika vita inaendelea Donbas ukraine kugomboa hayo majimbo.
Iwe ni kwa mkopo ama ni kwa vipi hizo hela tayari ziko mikononi mwa Zelensky., mimi na wewe tu ndio hatuna hela tunashinda hapa jf
Maana nimesoma coment zako lakini inaonesha una tabia ya kuongelea mambo usio kuwa na elimu nayo.
Hebu tupe huo udhibitisho wa haya unayo yaongea maana ndo kwanza nayasikia kwako.
Narudia tena kukwambia dunia haiendeshwi kienyeji kama unavyo fikiri bali inaendeshwa katika mfumo maalumu kwa hiyo kila kitu kinafanyika kwa kufuata mfumo maalumu kwahiyo usitegemee Ukraine kupokea hela za bure bure.
Hizo nchi za magharibi zina iunga mkono Ukraine sio kwamba zinawapenda raia wa Ukraine bali wapo hapo kwa maslahi ya mataifa yao wao wanacho kiangalia ni kuidhoofisha Urusi kwa gharama za maisha ya raia wa Ukraine kwa hiyo hata Ukraine iangamie wao hawajari wanacho jari ni maslahi yao.
Hata hizo silaha unazo ona wanapeleka usidhani ni za bure bali ni mikopo watakuja kulipa baada ya vita haijalishi wameshinda au waneshindwa.