RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Pale mla makande asiye jua hata bunduki ina shikwaje anapo mfundisha Urusi namna ya kupigana vita.Mkuu Ukraine hasara imeshatangazwa kuwa ni takriban $560 million mpaka kurejesha miji yote na hii hela tayari imeshapatikana wanayo Ukrean on pocket fuatilia kwenye televisheni tayari kazi imeanza Kyiv jana naviona vijiko vinaanza kutoa vifusi na kuweka usafi wa maeneo
Urusi alifikiri vita ni kuangusha majengo marefu tu kwa kuyapiga mabomu, hospital na vyuo kumbe vita ni utaalamu kumjua adui yuko wapi na kuanza kumshughulikia kitaalamu., Jana namuona Zelensky akiwa na Boris Jonson Waziri mkuu wa Uingereza katika mjengo wa kifahari sana pale Kyiv kumbe Russia vita yake yote aliishia pembeni pembeni tu akachemka na kurudi zake Donbas
Hivi unaijua $ 570 billions au una isikia?
Au unadhani hela ni za kuokota tu
Hiyo pesa ili uipate unatakiwa uchukue uchumi wa Africa kusini , Morocco na kenya uunganishe ndo uweze kupata hizo fedha.
Nchi yetu sasa hivi inadaiwa billion 20$ tu jasho linatutoka mpaka serikali inahaha namna ya kulilipa mpaka serikali inaweka kodi za ajabu ajabu ili ilipe deni.
Hiyo ni pesa ndefu mno mpaka Ukraine irudishe hiyo hasara ita mchukua zaidi ya miaka 20 na ushenzi.