Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

Ungekuwa na akili ungejua kuwa kwa sheria za kimataifa, yatajengwa na Russia. Mpaka leo hii Uganda bado wanailipa Tanzania hasara ya vita ya Kagera. Russia ina mabilioni ya dola ambayo yako nchi za magharibi ambazo ziko frozen kwa sasa. Zinaweza kujenga kama Ukraine 10 hivi.
Hilo hata halijui,na ndiyo maana kwa sasa wanashangilia kuona magorofa yameharibiwa kwao huo ni ushindi, hawajui
kabisa kuwa huu ni mzigo wa Russia.Lakini Putin mwenyewe na 'Denazification' yake amefail vibaya sana
 
Ukraine itajengwa vizuri sana tu,itapatiwa misaada ya kutosha,shida ni kwa Russia ambae karudishwa nyuma sana ki uchumi ukizingatia hata katika top 15 hakuwepo tangia mwanzo,si muda mrefu atapumulia machine ki uchumi na hivi Vita ndiyo kwanza kama inaanza,uwezo wa kuendesha vita kwa muda mrefu huku akiwa kapigwa sanctions za kutosha hana
Eti hana
Lakini kweli hana
 
Kama RUSSIA walivyoulinda usalama wataifa lao
Ikibidi watu kufa ili taifa liwe salama lazima watu wafe haijalishi watakua wawapi lakini lazima wafe
Nadhani umenielewa
Kila mtu ashinde mechi zake,habari ya kupangiana namna gani ya kuendesha Nchi haipo,eti Putin anaamrisha Wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini,yeye kama nani,silaha hazijawekwa chini na wanaume wako kazini kulinda Taifa lao.Putin kadharirika kuvimbiwa na dogo Zelensiky [emoji3]
 
Putin ameshikwa pumbune,mchinjaji wa watoto
Screenshot_2022-03-26-01-40-00-838_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
Screenshot_2022-03-25-20-35-20-861_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
Kwa wasiojua kama nyie ni kwamba gharama zote zilizosababishwa na hivi vita vya kijinga vya Putin vitalipwa na Russia kama War Reparations.

Kabla ya kuondolewa vikwazo lazima atasain mkataba wa kulipa hizo "War Reparations" na wala hilo halina mjadala, nakumbuka hadi tarehe 12/03/2022 makisio ya gharama zote zilikuwa zinakadiriwa kufikia US$ bilioni 118.
 
Kwa wasiojua kama nyie ni kwamba gharama zote zilizosababishwa na hivi vita vya kijinga vya Putin vitalipwa na Russia kama War Reparations.

Kabla ya kuondolewa vikwazo lazima atasain mkataba wa kulipa hizo "War Reparations" na wala hilo halina mjadala, nakumbuka hadi tarehe 12/03/2022 makisio ya gharama zote zilikuwa zinakadiriwa kufikia US$ bilioni 118.
Russia sio Zimbabwe.........hii vita kuisha ni kwamba dunia tayari itakua na wababe wengine hao wamagharibi hata wakilipwa miaka 1000 ila influence ya dunia itakua imeshatoka upande wao
 
Warusi wamekufa kama kuku. Hapo kwenye askari 1300 ongeza 0 ndio idadi halisi.
Mataifa ya kikomunisti kama Russia wanatabia ya kuficha ukweli
Wanaoficha ukweli ni wale wanaowaweka waafrika kwenye giza hadi sasa,,,muafrika kafanyiwa ukatili mkubwa sana na hawa mbuzi wa magharibi hayo ya ukraine cha mtoto wamalizane tu hao nguruwe
IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Back
Top Bottom