Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

....ila wadada wa kibongo mnatisha...
Mchana anatumia CUSTOM SETTING usoni..
Usiku anarudisha FACTORY SETTING....

Hakyamungu tunaibiwa.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
IMG_20190816_230702_411.jpeg
 
Dating sites nyingi zimejaa jamii za Asia hasa wahindi, wapakistan....

Hawa watu wanapenda mitandao sijui kwasababu wengi.

Hadi FB na IG unaweza kutumiwa meseji ukadhani mdada mrembo ukireply unakutana na lihindi lizee....sijui wanashinda gani hawa watu.
Hii kitu umeongea ni kweli kabisa yaani wahindi mitandaoni ni wasumbufu kinoma.. au labda kwasababu wapo wengi
 
Dating sites nyingi zimejaa jamii za Asia hasa wahindi, wapakistan....

Hawa watu wanapenda mitandao sijui kwasababu wengi.

Hadi FB na IG unaweza kutumiwa meseji ukadhani mdada mrembo ukireply unakutana na lihindi lizee....sijui wanashinda gani hawa watu.
Alafu hao wahindi wanapiga vibaya kama Facebook huko haangalii kama wewe ni mwanaume au mwanamke unakuta kashatuma hadi dushe[emoji36][emoji36]
 
Usiwe na hofu mie sitii neno Best. Mimi na weye dam dam tangu enzi za mihogo ya kukaanga, mabungo na ice cream pale jirani na Avalon theatre 😜😜😜😜

Mara nyingi wanajua three months free, zikiisha na mimi sirudi ni sirudi ni siri Asprin asijue
 
Wote tisa,, kumi wanawake tumezidisha kwa ufake... wanaume wengi uwaga wanajikubali the way walivyo ila sisi wanawake sasa had tupite kwenye filter[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom