Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

Siwataki kaka ninajifunza English British Council hapa za masiku? Nimefurahi kukuona.
Ha ha ha ila jamani waswahili sisi ni wachoyo hata kutaja tu hizo chimbo ni ishu hivi kweli dili za pesa tutapeana?
Zeru zeru hutaki? 😜😜😜
 
Mie mzima kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Haya kila la heri kwenye kutafuta mzungu usikate tamaa na kila la heri pia kwenye kujifunza lugha ya kwa mama.

Match.com
 
Ameen.

Tumeambiwa wazungu wote ni matajiri na sisi tunataka kuishi Masaki na Mikocheni
Hiviii Sky ..why wadogo zako hawaamini kwenye kutafuta pesa zao??!!kwamba ni lazima wapewe?kwamba ni lazima aolewe na jamaa lazima awe na walau ka gari flani(hata kama hampendi kweli)??nimeona wengi wanaumizwa sana maishani kwa Miyazaki kama hii
 
Back
Top Bottom