Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

Hahahah we mpaka umri huo una date? Mi nikajua yule bwana "Pain Killer" anasimamia show.
 
Dating sites nyingi zimejaa jamii za Asia hasa wahindi, wapakistan....

Hawa watu wanapenda mitandao sijui kwasababu wengi.

Hadi FB na IG unaweza kutumiwa meseji ukadhani mdada mrembo ukireply unakutana na lihindi lizee....sijui wanashinda gani hawa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wanakera afu wanapenda San kutuma magovi yao (ME) na Vihebede (KE).
 
Alafu hao wahindi wanapiga vibaya kama Facebook huko haangalii kama wewe ni mwanaume au mwanamke unakuta kashatuma hadi dushe[emoji36][emoji36]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom