Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Ila hakuna anayependa kuonekana mbaya.
Bwana tena huyu mtu alieunda filter ndio kaharibu mambo kabisa unaweza kutana ukaishiwa nguvu kabisa
Sky Eclat na wewe huwa unaingia huko dating site etiView attachment 1183169
Unakuta profile picture ni hii ya kulia, mkikutana kwenye actual date ni huyu wa kushoto.
Mtuonee huruma jamani.
Nurse ahaha haya nlijua ww kibibi unasaka hukoHapana
Hii kitu umeongea ni kweli kabisa yaani wahindi mitandaoni ni wasumbufu kinoma.. au labda kwasababu wapo wengiDating sites nyingi zimejaa jamii za Asia hasa wahindi, wapakistan....
Hawa watu wanapenda mitandao sijui kwasababu wengi.
Hadi FB na IG unaweza kutumiwa meseji ukadhani mdada mrembo ukireply unakutana na lihindi lizee....sijui wanashinda gani hawa watu.
Inaitwa cat fish hahahahhhπββοΈπββοΈπββοΈView attachment 1183169
Unakuta profile picture ni hii ya kulia, mkikutana kwenye actual date ni huyu wa kushoto.
Mtuonee huruma jamani.
Alafu hao wahindi wanapiga vibaya kama Facebook huko haangalii kama wewe ni mwanaume au mwanamke unakuta kashatuma hadi dushe[emoji36][emoji36]Dating sites nyingi zimejaa jamii za Asia hasa wahindi, wapakistan....
Hawa watu wanapenda mitandao sijui kwasababu wengi.
Hadi FB na IG unaweza kutumiwa meseji ukadhani mdada mrembo ukireply unakutana na lihindi lizee....sijui wanashinda gani hawa watu.
Wajinga saana.Alafu hao wahindi wanapiga vibaya kama Facebook huko haangalii kama wewe ni mwanaume au mwanamke unakuta kashatuma hadi dushe[emoji36][emoji36]
ππππ
View attachment 1183169
Unakuta profile picture ni hii ya kulia, mkikutana kwenye actual date ni huyu wa kushoto.
Mtuonee huruma jamani.
Mimi nataka kuolewa tena na mzungu embu orodhesha dating sites nikajiunge mweee
Mara nyingi wanajua three months free, zikiisha na mimi sirudi ni sirudi ni siri Asprin asijue