Zeru zeru hutaki? πππ
Siwataki kaka ninajifunza English British Council hapa za masiku? Nimefurahi kukuona.
Ha ha ha ila jamani waswahili sisi ni wachoyo hata kutaja tu hizo chimbo ni ishu hivi kweli dili za pesa tutapeana?
Match.com
Mie mzima kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Haya kila la heri kwenye kutafuta mzungu usikate tamaa na kila la heri pia kwenye kujifunza lugha ya kwa mama.
Catholic.singles
Hii ni kwa Wakatoliki
Hahahahaha ndo muache ubaguziView attachment 1183169
Unakuta profile picture ni hii ya kulia, mkikutana kwenye actual date ni huyu wa kushoto.
Mtuonee huruma jamani.
Hiviii Sky ..why wadogo zako hawaamini kwenye kutafuta pesa zao??!!kwamba ni lazima wapewe?kwamba ni lazima aolewe na jamaa lazima awe na walau ka gari flani(hata kama hampendi kweli)??nimeona wengi wanaumizwa sana maishani kwa Miyazaki kama hiiTumeambiwa wazungu wote ni matajiri na sisi tunataka kuishi Masaki na Mikocheni
Aisee kumbe na ww umo.
View attachment 1183199
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatengeneza [emoji378]dah mkuu hapo ukijamba ni zaidi ya bomu la hiroshima......
Site hutumii gharama kama za kutoana out kwanza uumizwe ndo utongoze. kutongoza nyuma ya keyboard kunaongeza confidenceWanawake walio jaa mtaani bado watu wanazama site
Site mnaongea na kupanga bei hamna vizinga kuleWanawake walio jaa mtaani bado watu wanazama site