Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
This is the best time to prove that we can't exist on our own as a society we need leaders. At trying times like this it's when we sit back and review our values and process of selecting and vetting our leadership process. The best we can do is learn.Tunawalipizia na wao walikataa kumtambua Babu wa Loliondo na dawa yake.
This is the best time to prove that we can't exist on our own as a society we need leaders. At trying times like this it's when we sit back and review our values and process of selecting and vetting our leadership process. The best we can do is learn.Magufuli ni Raisi wa aina yake, siyo mtu wa kumumunya maneno kuogopa mabeberu watamfikiriaje. Kwa Africa hadi sasa sijaona Rais mwenye uthubutu Kama huo, maraisi wengi wa Africa ni wanafiki wanaojipendekeza kwa mabeberu wakiogopa kusitishiwa misaada...
Kwani huyu Jamaa yetu wazungu walimfanyaje na kwanini anataka kutuaminisha watu wote kuwa wazungu ni maadui zetu?Tunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya rais hutafsiriwa na ofisi zote nchini na kuvuka mipaka...
Mugabe had a reason, we don't!Kwani huyu Jamaa yetu wazungu walimfanyaje na kwanini anataka kutuaminisha watu wote kuwa wazungu ni maadui zetu?
Hakuna kitu kama hicho.Hizo zilikuwa ni imani zetu sisi watoto wadogo zamani wakati wa chanjo, kipindi hicho tuko chekechea.Imagine leo hii lijitu likubwa na ndefu zake zilizojaa mvi tena ni Rais bado lina imani hizo za kitoto!Hivi ni nchi gani hiyo waschana walichanjwa ili wasizae?
If we dont have good reason, haya makelele ni ya nini kwa .mfano? Kwani huyu Jamaa anamiliki uhai wa kulia mtanzania?Mugabe had a reason, we don't!
Labda Jamaa walimfanya kitu wakati alipopita ujerumani,maana chuki zake kwa mzungu hazina tofauti na chuki za Hitra kwa wayahudi,sema tu hana uwezo ila wazungu wangekomaHakuna kitu kama hicho.Hizo zilikuwa ni imani zetu sisi watoto wadogo zamani wakati wa chanjo, kipindi hicho tuko chekechea.Imagine leo hii lijitu likubwa na ndefu zake zilizojaa mvi tena ni Rais bado lina imani hizo za kitoto!
Akisha kuwa nyuma ya mike huwa anafikiri yeye ni Mungu wa Dunia. Hakumbuki kuchunga ulimi wake.Mkubwa hakosei namnakuza hata mambo madogo
Kwani huyu Jamaa yetu wazungu walimfanyaje na kwanini anataka kutuaminisha watu wote kuwa wazungu ni maadui zetu?
Ni bora tusitumie chanjo kabisa Kama hatuna uhakika wa ubora na usalama kwa hizo chanjo walizotengeneza kwa sababu miili yetu Ina uwezo wa kutengeneza kinga yake yenyewe (Natural immunity).Wewe ni sawa na wale wakata viuno wa kanga moja. Ungewaongoza waafrika wenzako kutengeneza chanjo basi angalau useme tusiamini chanjo wa wazungu tutumie chanjo yetu hii. Hapa si ajabu ukasema chanjo yetu ni kujifukiza kama huyo kichaa anavyoamini.
Urais sio cheo cha kuonyeshea mapenzi na mapungufu ya mtu, labda hujui unaongea nini.Anzisha chama chako .....omba uraisi ukipata utareta Mambo yako unayopenda......kinyume na hapo Acha choyo na kijiba........mwache mwenzio ale shushu......
Wewe unahisi inahitajika muda kiasi gani ili chanjo yoyote kua tayari kwa matumizi?Ni bora tusitumie chanjo kabisa Kama hatuna uhakika wa ubora na usalama kwa hizo chanjo walizotengeneza kwa sababu miili yetu Ina uwezo wa kutengeneza kinga yake yenyewe (Natural immunity)...
Rais mwenyewe hasikilizi washauri wala hasomi hotuba anazoandaliwa, sasa hapo atasaidiwaje?Tunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya rais hutafsiriwa na ofisi zote nchini na kuvuka mipaka...