Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Chanjo ni dhidi ya maambukizi ya virusi na bakteria. Sijawahi kusikia kuna chanjo dhidi ya vimelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi hujui maana chanjo,chanjo kwenye vimelee kwan communicable deseaseSizani km alisema Malaria inaambukizwa na virus ila alihoji " Kama(Wazungu) wameweza kutengeneza chanjo ya Covid-19 mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya Virus vya ukimwi,Kifua kikuuu au Malaria"?
Mkuu baada ya kubaki na mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wananchi, wamekosa ishu ya kuongelea na kumkosoa JPM. Angalia threads za kupinga alichoongea JPM leo zilivyoanzishwa kwa fujo!?.., bora hata huyu kaishia kupindisha maana tu wengine wanalilia lockdown wengine wanataka chanjo, ilimradi wapinge pinge tu. Ila uzuri JPM huwa hayumbishwi.Sizani km alisema Malaria inaambukizwa na virus ila alihoji " Kama(Wazungu) wameweza kutengeneza chanjo ya Covid-19 mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya Virus vya ukimwi,Kifua kikuuu au Malaria"?
Huna loloteSina utaalamu wowote kuhusu mambo ya afya, lakini tangu nikiwa mtoto wa Miaka 10, Mwanafunzi wa darasa la 4, nilifundishwa na Mwalimu wangu wa Sayansi Kimu kuwa Ugonjwa wa Malaria huambukizwa na Vimelea(Parasites) aina ya Plasmodium wanaoenezwa na Mbu jike aina ya Anopheles..
Miaka mingi baadaye Daktari wa Madaktari, one John Magufuli ameitangazia dunia na amenitangazia mimi huku akionesha kujiamini kwamba Malaria, kama ilivyo Korona, ni moja ya Magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya Virusi (aina gani, hajafafanua).
Sasa nimeachwa kichwa kinazizima 💤💤
Sasa Wataalam mko Wapi? Some factchecking please!
Ebu tupe tofaut virus ,bacteria na vimeleaChanjo ni dhidi ya maambukizi ya virusi na bakteria. Sijawahi kusikia kuna chanjo dhidi ya vimelea.
Ni kwa wapumbavu na wajinga.Magufuli ni Raisi wa aina yake, siyo mtu wa kumumunya maneno kuogopa mabeberu watamfikiriaje. Kwa Africa hadi sasa sijaona Rais mwenye uthubutu Kama huo, maraisi wengi wa Africa ni wanafiki wanaojipendekeza kwa mabeberu wakiogopa kusitishiwa misaada.
Kuhusu hii chanjo ya Covid kusema ukweli ina walakini mkubwa kuhusu effetiveness yake. Ukiangalia muda uliotumika kutengeneza chanjo hii ni mfupi mno kuweza kufanya majaribio na kupata data za kutosha kujiridhisha kuhusu ubora na usalama wake.
Kitu kingine wakati hii vaccine inatengenezwa hapakuwa na aina mpya ya kirusi ambacho ni hatari zaidi kuliko aina ya kwanza.
Kwa hiyo unaona kabisa kutumia vaccine hii haitakuwa na matokeo mazuri Sana.
Kwa hiyo JPM alichosema ni kuwa tusiamini kila chanjo inayotengenezwa na wazungu.
Waafrika tuna tatizo moja hata Kama tumesoma hatuna confidence ya kuchallenge kazi zinazofanywa na wazungu kwa sababu ya Imani potofu kuwa kila wanachokifanya ni sahihi.
Kwa taarifa yako huu msimamo wa leo wa Magufuli umekuwa gumzo Afrika in a positive way, watu wengi wamekubaliana na msimamo wa Magufuli.
Virusi ni parasite piaStatement kama hii ingeongelewa na nsomi wa mambo ya biashara, uchumi na politics tungeelewa kuwa yupo misinformed. Sasa huyu PHD tena wa chemistry hajui tofaut ya virus na parasites. Hjui hata maana ya chanjo ni nini . Hii inaonesha hata PHD yake ni fake ndyomaana ben sanane alipoanza fatilia elimu yake alipotea.
Hivi hata wanafunzi wake alikuwa anawafundisha nini kama sio kuwapa matango pori.
Nchi hii ina watu wajinga! Halafu mtu kama huyu utakuta ana Mke na watoto na akirudi nyumbani anaitwa Baba 🙄. We still have a long way to Go 😓😓😓Uzuri wa magu sio mnafiki. Ni vizuri ukaonesha your true colour na msimamo iwe upo sawa au umekosea. Watu design ya magu wanawavuruga sana wazungu kwani huwa hawakwepeshi maneno.
RIP Ben Saanane!
Kwa hiyo wewe kwako mtu akiropokaropoka basi ameshakuwa kiboko ya Mabeberu..jinga kabisa weweMagufuli ni Raisi wa aina yake, siyo mtu wa kumumunya maneno kuogopa mabeberu watamfikiriaje. Kwa Africa hadi sasa sijaona Rais mwenye uthubutu Kama huo, maraisi wengi wa Africa ni wanafiki wanaojipendekeza kwa mabeberu wakiogopa kusitishiwa misaada.
Kuhusu hii chanjo ya Covid kusema ukweli ina walakini mkubwa kuhusu effetiveness yake. Ukiangalia muda uliotumika kutengeneza chanjo hii ni mfupi mno kuweza kufanya majaribio na kupata data za kutosha kujiridhisha kuhusu ubora na usalama wake.
Kitu kingine wakati hii vaccine inatengenezwa hapakuwa na aina mpya ya kirusi ambacho ni hatari zaidi kuliko aina ya kwanza.
Kwa hiyo unaona kabisa kutumia vaccine hii haitakuwa na matokeo mazuri Sana.
Kwa hiyo JPM alichosema ni kuwa tusiamini kila chanjo inayotengenezwa na wazungu.
Waafrika tuna tatizo moja hata Kama tumesoma hatuna confidence ya kuchallenge kazi zinazofanywa na wazungu kwa sababu ya Imani potofu kuwa kila wanachokifanya ni sahihi.
Kwa taarifa yako huu msimamo wa leo wa Magufuli umekuwa gumzo Afrika in a positive way, watu wengi wamekubaliana na msimamo wa Magufuli.
Wewe ndio huelewi!!ina maana hata hujui kuwa chanjo ina husika na magonjwa yanayosababishwa na VIRUS, sasa malaria iko kwenye kundi hilo??toka lini parasaiti, akatibiwa kwa chanjo?!!JAMANI , Hata haya majina mnayojiita wakati mwingine hamyatendei haki walaaah!!eti newton!!!Sizani km alisema Malaria inaambukizwa na virus ila alihoji " Kama(Wazungu) wameweza kutengeneza chanjo ya Covid-19 mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya Virus vya ukimwi,Kifua kikuuu au Malaria"?
Kaitaja mpaka cancer kailundika kundi moja na magonjwa ya kuambukiza.Sina utaalamu wowote kuhusu mambo ya afya, lakini tangu nikiwa mtoto wa Miaka 10, Mwanafunzi wa darasa la 4, nilifundishwa na Mwalimu wangu wa Sayansi Kimu kuwa Ugonjwa wa Malaria huambukizwa na Vimelea(Parasites) aina ya Plasmodium wanaoenezwa na Mbu jike aina ya Anopheles..
Miaka mingi baadaye Daktari wa Madaktari, one John Magufuli ameitangazia dunia na amenitangazia mimi huku akionesha kujiamini kwamba Malaria, kama ilivyo Korona, ni moja ya Magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya Virusi (aina gani, hajafafanua).
Sasa nimeachwa kichwa kinazizima [emoji99][emoji99]
Sasa Wataalam mko Wapi? Some factchecking please!
Tulia wewe sisi ndio wataalam - Barnabas MwakalukwaTunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya rais hutafsiriwa na ofisi zote nchini na kuvuka mipaka...