Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Niliwahi kuandika na ninarudia tena. Wazungu si rafiki zetu hata siku moja. Kila wanachotupatia wana malengo nacho na ni kwa manufaa yao 99%.Kwani huyu Jamaa yetu wazungu walimfanyaje na kwanini anataka kutuaminisha watu wote kuwa wazungu ni maadui zetu?
Kama wangekuwa na nia njema wasingeua wataalamu wa Afrika wanaojaribu kuweka tafiti zao zenye matokeo mazuri kama vile madawa ya tiba za binadamu.
Wasingebuni chanjo kama zile za kikanda kama za saratani ya shingo ya kizazi, amabazo baadhi ya nchi wamegundua zina kemikali za kuzuia uzazi kwa wasichana au kusababisha mimba kuharibika. Tnapewa chanjo hizo kimyakimya ili iweje.