Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani


Your browser is not able to display this video.
 
Angalia ulicho comment hapa!! Halafu eti wewe ndiye anaetegemewa na Rais kwa Ushauri.
 
Uthubutu wa kupigana na tembo?
 
Kwan mkuu anavyoongelea hayo mambo Ya chanjo , ameshakubali kua , nchini corona ipo?
 
Fungua Aljazeerah uone jinsi walivyomshangaa na kumwona kuwa ni mwendawazimu mmoja amekaa ikulu huko Africa. Acheni ujinga hiyo misimamo yake aipeleke nyumbani kwake awaache wananchi wajipiganie afya zao. Ebo
Hivi kwa akili yako unategemea vyombo vya habari vya mabeberu vimuunge mkono Magufuli?
 
Analazimika kusema hadharani ili watanzania wote wasikie, kwa lengo la kuepusha taharuki inayoweza kujitokeza. Angalia humu JF matanzia yamezidi, na yeye anajua sababu kamili ya kwa nini matanzia hayo yamezidi, ila wewe hujui . Mungu siyo mwongo wala kigeugeu kwamba tuliomba akaondoa Korona, halafu eti aje airudishe tena, siyo kweli lazima kuna kitu. Hivi wewe unawaelewa baadhi ya watanzania mawazo yao yalivyo au unawasikia tu? Watu tunakaa tunaadika mambo muhimu ya kuwa-alert humu kwenye mitandoa lakini wala hata hamsoni!
 
Tatizo ni lako. Unalaumu Magufuli wakati unashindwa hata kurudia aliyoyasema. Mtu unaandika jambo ambalo hujalisikia kabisaa!!
Uchaguzi ulikwisha sijui munategemea iwe ni sehemu ya kampeni!!
 

Rais wetu ni ana afadhali akisoma hotuba iliyoandaliwa, nje ya hapo anaenda chaka. Yaani akianza kuhutubia hautamani hata mtu unayeheshimiana naye awepo karibu kwani saa yoyote "kiongozi" anaweza kuponyokwa na maneno yasiyo na utaratibu wala staha.

Natamani walio karibu naye wawe wanamshauri, vinginevyo wasipomwambia wanakuwa wanamkosea.
 
Mnapata wapi nguvu na mda wa kujadili hayo wakati mafuta ya kula kitaa lita elfu 6....''.kuweni serious basi.
 
Lazima awaambie Wananchi wake ukweli, Yeye ana taarifa za uhakika na muhimu, Wote tuamshe akili zetu na kufikiria hili. Kwanini Virusi sugu vipatikane Africa, na si Ulaya, Marekani na Asia? huko wanatumia Madawa makali na ni rahisi virusi kubadilika ili kujilinda, lakini kwa Africa visingeweza kubadilika kwani havishambuliwi na Madawa makali. Lazima turuhusu akili zetu kufikiri, na Hawa wataalamu wetu wafanye kazi zao kwa umakini sio kufuata kila kitu wanachoambiwa kutuka Nje au kwenye medias kama wananchi wa kawaida.
 
Mpaka leo wewe binafsi umechanjwa chanjo ngapi??? Na hivi tunapojadili ni watu wangapi au watoto wangapi wanapatiwa chanjo sehemu mbalimbali nchini
 
Huo ndo ukoloni mamboleo yaani Rais halali wa taifa fulani afiche mawazo anayoyaamini kwa wananchi wake kisa nchi zingine?
 
Tatizo ni lako. Unalaumu Magufuli wakati unashindwa hata kurudia aliyoyasema. Mtu unaandika jambo ambalo hujalisikia kabisaa!!
Uchaguzi ulikwisha sijui munategemea iwe ni sehemu ya kampeni!!
We ndo zuzu Kabisa, jinga kama huyo Jinga mwenzio, hukumsikia?
 
We ndo zuzu Kabisa, jinga kama huyo Jinga mwenzio, hukumsikia?
Tatizo siyo ujinga wangu, tatizo ni wewe kushindwa kurudia yaliyosemwa, unaunda ya kwako. Tunajadili aliyoyasema. Sikiliza tena na laumu kwa hayo. MUda wa kutungiana maneno ulikuwa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…