Hizi Junction za huku mjini inabidi uziendee kwa heshima ukileta wenge inakula kwako

Hizi Junction za huku mjini inabidi uziendee kwa heshima ukileta wenge inakula kwako

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Kamata mataa..
Tazara..
Fire..
Taa zote za Morogoro Road

No one cares kila mtu ana haraka hakuna kuheshimu mataa mwendo wa kuviziana hizi sehemu ndio zinafanya kuendesha pikipiki dsm iwe risk x2.

Ukizubaa inakula kwako.
 
Back
Top Bottom