BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Noma kama hujui kubalance moto na clutch bora usukume😂Kama pkpk umejifunza juzi, unaweza shuka usukume😁😂😂😂
Aisee mataa hayazingatiwi kabisa
Tena nyie bodaboda ndio hamjui hata kama kuna taa za kuongoza magari.Kamata mataa..
Tazara..
Fire..
Taa zote za Morogoro Road
No one cares kila mtu ana haraka hakuna kuheshimu mataa mwendo wa kuviziana hizi sehemu ndio zinafanya kuendesha pikipiki dsm iwe risk x2.
Ukizubaa inakula kwako.
Waendesha pikioiki washaambukiza mpaka bajaji na guta nazo kwenye mataa zikipata upenyo wanatelezaPolisi wakiacha kuchukua buku tano tano watu watafuata sheria. Kazi ndogo sana hio.