Umenikumbusha kuna jamaa alikuwa supervisor wa kampuni ya muhindi ya kutengeneza rasta. Alikuwa kitengo cha kuchukua vibarua wa kutwa ambao asilimia kubwa ni wanawake.
Ilikuwa ni kawaida kudai rushwa ya ngono ili awapatie kazi. Katika hangaika zake akadai ngono kwa demu wa kibarua mwingine wa kudumu.
Jamaa wakaweka mtego baada ya shift akajua anaenda kupewa mzigo.
Njemba kadhaa na mademu ambao walishachoka tabia yake walienda kujibanza karibu na guest ya tukio.
Alipoingia tu watu wakamvamia, wale kinadada walimvalisha wigi fasta na kumremba kama mwanamke.
Akiwa uchi wale wanaume kila mmoja alikwenda kupiga picha bila kuonyesha sura zao wakisimama karibu na mshkaji wakimgusisha uume. Na alipigwa picha kadhaa akiwa amewekwa mikao ya kudhalilisha. Hakuna aliemuingilia ila yalitengenezwa mazingira kuwa yeyote angeona picha lazima angeamini jamaa kalawatiwa.
Baada ya hapo kila kibarua alitumiwa zile picha, ilikuwa wakifika getini asubuhi wanamuonyesha moja ya picha zake; jamaa fasta anaruhusu waingie.
Manyayaso yalipozidi ilibidi aache kazi kwa fedheha. Alishindwa kwenda polisi kwa hofu kuwa aibu ingekuwa kubwa zaidi.