Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Katiba yetu haijaeleza nguvu waliyonayo wananchi katika kuhoji watawala wa nchi hii
Bali imewafanya watawala kuwa mihungu watu wanaostahili kusifiwa na kuabudiwa huruma utakayoiona kwa kiongozi yeyote wa Tanzania si kwasababu ya katiba Bali ni kwa sababu ya malezi kutoka kwa familia yake na mazingira ya makuzi yake
Laiti katiba ingeruhusu mihimili yote ya dola kuwa huru pasina kushinikizwa na muhimili mwingne na Ile Kinga waliyonayo ya kutokushitakiwa ikaondolewa watawala wangekuwa na hofu ya kutenda baadhi ya mambo na kudhibiti ndimi zao
Ni Tanzania pekee ambayo kiongozi anasimama mbele ya kadamnasi na kuwatukana wananchi Kuna yule kawaita wananchi kenge mwingne alisikika akiwaita Wananchi wapumbavu na kuwafokea nk
Katika yote hayo Mungu aendelee kuficha upumbavu wetu na kudhihirisha hekima zetu zaidi