Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo?

Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu?

Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako

So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣

CCM chali kifo cha mende

Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭 Samia must go📢🔊
View attachment 3594968
ile muvie ya wakatoliki iliisha wapi ?

tuwe tunatumia akili hata kidogo kile tulichojaliwa na Mungu. labda tahira ndiye anaweza kudai haki kwa namna hiyo kwa kujiricord .hata kama sura hazionekani lakini sauti zinasikika.labda kama ulizaliwa na kuishi mbinguni .mimi ningekuwa mkuu wa usalama wa taifa nakudaka kwa wiki mbili tu.ukitoa dau la milioni moja hawa matapeli unawapata kiurahisi
 
Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu?

Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako

So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣

CCM chali kifo cha mende

Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭 Samia must go📢🔊
View attachment 3594968
Tilahtilah na Lucas mwashambwa.
 
Huu ujinga ni akili za Mwigulu. Badi Mwigulu anafanya siasa za kishamba za Karne iliyopita. Hao viazi wanaigiza ni wanacdm, lakini wala hawapatii. Hiyo People's wanamwambia nani huko porini? Maana hiyo kauli huwa inazungumzwa kwenye mikutano ya hadhara, sasa huko porini wakisema hivyo wanamwambia nani?

Unaweza kuta mzee Chande aliambiwa aandike ripoti ya vile, kisha serekali itatengeneza script za kuendana na huo utoto wao.
Umewaza kama mimi hasa nikikumbuka ule mchezo wake wa kumtumia kwenye kampeni mtu waliye mmwagia tundikali wao wenyewe wenyewe
 
Ila mkuu nakwambia kweli kua mmechemka kutengeneza hii script, mngetafuta wataalam...
gentleman,
hiyo itakua ni miongoni mwa sheria bora sana duniani,
na inakwenda kuleta mabadiliko makubwa sana kimaadili Tanzania :pulpTRAVOLTA:
 
Aisee hawa mapimbi hata bora wangewashirikisha bongo movie..

pimbi ni pimbi tu!
 
Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu?

Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako

So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣

CCM chali kifo cha mende

Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭 Samia must go📢🔊
View attachment 3594968
eti mtu anasema anatseka maporini afu anakitambi kabisa na matiti...ngozi nyororo kabisa aiseee.......karma is a bitch but make sure that bitch is beautiful
 
Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu?

Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako

So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣

CCM chali kifo cha mende

Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭 Samia must go📢🔊
View attachment 3594968
Kwahiyo huyo kiazi aliyeongea mwanzoni, alipokuja kuongea mara ya pili akasahu kutumi lafudhi ya kikurya aliyokuwa amepanga.

Nchi hii imekuwa na mitawala ya ovyo sana.
 
Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu?

Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako

So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣

CCM chali kifo cha mende

Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭 Samia must go📢🔊
View attachment 3594968
Ulianza vizuri umemaliz vibaya
 
Sijui imekuaje tukafika hapa!
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom