Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

Machimbo ya tunduru miaka ile yamelipuka watu wakipiga mshindo starehe walikuwa wanazifanyia mtwara mjini...wasukuma wakati huo utasikia bora uishiwe damu kuliko kuuishiwa pesa (1)Kuna mtu mmoja alipigishwa magoti huku amebeba Kreti za bia kichwani wao wakawa wanakunywa yaani walimfanya kama meza...(2) Kuna jamaa mmoja akifanya kazi mkoani pale kwahiyo alimfungulia biashara mkewe pale stand... kwahiyo Digala wa madini akampenda sana yule dada aisee kama utani aliivunja ndoa ya watu kwa jeuri ya pesa,,,ndio mara ya kwanza nilimuona mtu analia hadharani huku anamuomba digala amuachie mkewe kwasababu anampenda na wametoka mbali na wana mtoto mdogo aiseee ni tukio la kikatili mno kuwahi kuliona tena stand watu wamejaa Kibao.
 
Acha wivu Mk
🤣 Hahaha; Digala..enzi zetu kuna wimbo chorus yake tuliiwekea hili neno enzi za Machimbo ya Dhahabu huko Nyamikonze-Geita..!

-....Nyamikonzeeee..**** digalaaaa×2.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…