BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Imagine unaishi Manzese, Buguruni, Luhanga, Mburahati, Tandika, Keko, Mbagala kwanza asilimia kubwa nyumba zinavuja miundombinu ya mitaa ni mibovu ongezea mifereji ya maji machafu inayotoa harufu watu wanatake opportunity ya mvua kuzibua vyoo very disgusting mitaa inatia kinyaa na hakuna anayejali yaani umasikini na uchafu ni vitu vinavyokwenda sambamba.
Oysterbay Barabara ya lami mpaka getini nyumba ina paving stones, nyumba ina space ya kutosha hewa safi inaingia ndani, mazingira mazuri kwa nini usifurahie mvua.
Ukikaa uswazi ukiachilia mbali kuvuna maji ya mvua hakuna sababu nyingine inayoweza kufanya upende mvua.