Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

Dareda huku mlimani Derigado Mexico mambo ni motoo ni milio ya ndegepori na maporomoko ya maji na Kitu ya Dubai pembeni hapa inanyonyoa kuku kwa pembeni .... kama upo Lushoto kwa WADOSI....safari baridiii na bonge la View ya mlinga Hanang kwa mbalii
 
Mkuu hata sehemu za ushuani kuna maeneo yanajaa maji, ile January hukuona clips zinasambaa mitandaoni maeneo ya Kunduchi na Mbweni maji yaliondoka na madaraja tena makubwa tu, huko Goba na Salasala mabondeni ndio kabisa kuna maeneo yaligeuka mito kwa siku kadhaa
Miundombinu yetu hasa madaraja inahitaji tathmini.
 
Hay ushuwani kwenu masaki hiyo

Ova
 

Attachments

  • 20240407_112139.jpg
    20240407_112139.jpg
    1.9 MB · Views: 3
Kweli shida hazizoeleki kuna kipindi niliwahi kuishi maeneo ambayo maji yalikua yanaingia hadi ndani mvua ikiwa kubwa so kipindi cha mvua muda wote unakosa furaha, ukiona wingu tu akili inahama, kwa hali ya kawaida unaonekena uko normal tu ila kichwani vitu vinagongana kujiuliza nitayaacha lini maisha haya. Noma sana
 
Imagine unaishi Manzese, Buguruni, Luhanga, Mburahati, Tandika, Keko, Mbagala kwanza asilimia kubwa nyumba zinavuja miundombinu ya mitaa ni mibovu ongezea mifereji ya maji machafu inayotoa harufu watu wanatake opportunity ya mvua kuzibua vyoo very disgusting mitaa inatia kinyaa na hakuna anayejali yaani umasikini na uchafu ni vitu vinavyokwenda sambamba

Oysterbay Barabara ya lami mpaka getini nyumba ina paving stones, nyumba ina space ya kutosha hewa safi inaingia ndani, mazingira mazuri kwa nini usifurahie mvua.

Ukikaa uswazi ukiachilia mbali kuvuna maji ya mvua hakuna sababu nyingine inayoweza kufanya upende mvua.
Pongezi kwa serikali ta awamu ya 6
 
Unasikia sha.sha.sha. sio uswazi shaaashaa mara mpo gongo lamboto na vyo vyenu mnapungia wananchi
 
Na ikikata joto linarudi mbu wa kutosha.
 
Aaah daslam daslam ila ndo haturudi mikoani
 
Back
Top Bottom