Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

Dareda huku mlimani Derigado Mexico mambo ni motoo ni milio ya ndegepori na maporomoko ya maji na Kitu ya Dubai pembeni hapa inanyonyoa kuku kwa pembeni .... kama upo Lushoto kwa WADOSI....safari baridiii na bonge la View ya mlinga Hanang kwa mbalii
 
Miundombinu yetu hasa madaraja inahitaji tathmini.
 
Kweli shida hazizoeleki kuna kipindi niliwahi kuishi maeneo ambayo maji yalikua yanaingia hadi ndani mvua ikiwa kubwa so kipindi cha mvua muda wote unakosa furaha, ukiona wingu tu akili inahama, kwa hali ya kawaida unaonekena uko normal tu ila kichwani vitu vinagongana kujiuliza nitayaacha lini maisha haya. Noma sana
 
Pongezi kwa serikali ta awamu ya 6
 
Unasikia sha.sha.sha. sio uswazi shaaashaa mara mpo gongo lamboto na vyo vyenu mnapungia wananchi
 
Na ikikata joto linarudi mbu wa kutosha.
 
Aaah daslam daslam ila ndo haturudi mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…