Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

Bro usikariri ushuwani ni Masaki na O/bay tu.
Mbagala kuu/Kijichi kuna mitaa imenyooka na imepigwa rami nzito mpaka kupindukia hapa Kibada chekechea na wala maji hayajai kuna mifereji mirefu mipana.
Kigamboni pia kuna maeneo mengi tu maji hayajai japo rami ndio bado haijasambazwa,na cha kushukuru Kigamboni hawana mtindo wa kufungulia makaro ya vyoo maana ardhi ya Kigamboni haitemi maji inameza maji aisee.
 
Mkuu njoo kwetu manzese midizini utafurahia hizi mvua....halafu mishe za kusaka chapaa ni ilala sokoni!!!
Yaani matope yalivyojaa na harufu mbaya ila hatuna cha kufanya inabidi tupambane tuu na maisha yetu!!
 
Wachawi wanapenda sana useahilini sio mahali pa kuishi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…