Hizi ndio akili za wananchi wanaotaka mabadiliko?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Screenshot_20251220_003935.jpg

Hapo si kujichotea tuu aisee, ni kama tuu shamba la urithi ukiishiwa unakata kipande 20*20 unauza, ndugu hawana noma.
 
Alieandika hiyo comment akili hana.
Itoshe kusema tofauti yake na kinyesi ni joto tu.
 
View attachment 3518000

Hapo si kujichotea tuu aisee, ni kama tuu shamba la urithi ukiishiwa unakata kipande 20*20 unauza, ndugu hawana noma.
Muulize swali akiibiwa yeye atakubali kwa vile pesa inazunguka?
Hilo ni tutusa std 7 failure...tatizo la watanganyika linaanzia na kuwa na elimu ndogo, tena elimu ndogo uchwara. Madhara ya ujamaa wa Nyerere!
 
Ujamaa ndo mfumo mzuri
 
Gachagwa wa Kenya alishawahi kusema Kenya inaongozwa kwa share sijui aliwaza nini kusema vile in public
 
Back
Top Bottom