appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm moja kutengeneza uvimbe yaan kama dead cell usaha uchafu virus na nk
Hii hutokea kwa wanawake na wanaume hutokea eneo la kuzunguka shingo kwa juu au chini huja na kukaa kwa miez kadhaa au miaka na kupotea kisha kurud
Ukiona hali hii mwambie mwenza wako mkapime
Hii hutokea kwa wanawake na wanaume hutokea eneo la kuzunguka shingo kwa juu au chini huja na kukaa kwa miez kadhaa au miaka na kupotea kisha kurud
Ukiona hali hii mwambie mwenza wako mkapime