Hizi ndio animation movies kali ambazo sio za kukosa

Hiyo Nezha reborn naipata web gani aseee sisi wazee wa Fzmovies na hdmp4mania tunanyanyasika na hizo muvi za kutoka far eastern Asia. Na huu msoto wa mabando ndo tunaumia aseee. Tupeni chimbo na sisi tufaidi wakuu
Nadhani YTS itakuwepo ila mb sasa hivi ni kipengele
 
1. Trolls word tour 2020
2. Luca
3. How to train your dragon 1,2,3
4. Laya and the last dragon
5. Dragon wish
6. Croods 1,2
7. Son of bigfoot
8. Abominable
9. Hotel transylvania 1,2,3
🔥
 
Hivi hizi katuni si za watoto? Au kuna watu wazima na midevu huwa wanaangalia?
Hizo ni kama movie tu mkuu, mtoto hawezi kuelewa wala kuenjoy sana coz ni tofauti kidog na zile zinazoonyeshwa kwenye zile channel za cartoon
 
Hizo ni kama movie tu mkuu, mtoto hawezi kuelewa wala kuenjoy sana coz ni tofauti kidog na zile zinazoonyeshwa kwenye zile channel za cartoon
nilikuwa naangalia The Flintstones utotoni lkama katuni tu lkn kiuhalisia hakuna mtoto anaweza elewa hata kama anajua lugha, madhui yaliyomo ndani ya ile katuni ni ya kuangalia mtu mzima ambae tena ana familia.
 
Hilo BAD CAT lina matusi hadi aibu
 
nilikuwa naangalia The Flintstones utotoni lkama katuni tu lkn kiuhalisia hakuna mtoto anaweza elewa hata kama anajua lugha, madhui yaliyomo ndani ya ile katuni ni ya kuangalia mtu mzima ambae tena ana familia.
Ndo ivo mkuu, hata kama mtoto ataangalia basi ye ambacho ataenjoy ni ile kuona katuni tu basi. Ila mtu mzima anaeelewa lugha ataenjoy mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…