Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

Biashara zinazoweza kumsaidia mtu kutoboa haraka ni hizi zifuatazo:-

1. Biashara ya madawa ya kulevya.
2. Ujangili
3. Umafia/dhuluma/utapeli wa kimtandao, nk.
4. Siasa
5. Utume/Uchungaji/Unabii (Yaani kama yule Mwamposa)
6. nk.

Nje hizo biashara hapo juu nilizozitaja, basi kutoboa kwako kutakuwa na changamoto nyingi sana kutokana na uwepo wa hawa kupe mf. TRA, polisi, serikali, mamlaka mbalimbali, nk.
 
Kuzungumza ni rahisi sanaa ila ingia mzigoni ni mbingu na ardhi.

Fanya kwa bidii kua mmbunifu,jali wateja wako na bei iwe chini ya bei ya sokoni mfano: nyanya wenzako wote wanauza moja 100/= wewe uza 90/= watu huwa wanavutiwa na bei ndogo kulinganisha na sehemu zingine.

NB:
Ndio taratibu taratibu utaanza kuitwa firimasoni ( nizamu ya pesa pia coz pesa hua haikai na malofa).
 
Vipi biashara ya taxi mtandao kama nitaendesha mwenyewe,,? makadilio ya mapato ya kila siku yakoje,,? changamoto zake ni zipi,,? niko Mwanza nataka niachane na kibarua kiwandani nijiajiri huko mwenye uzoefu na hii kazi anijuze abc zake tafadhali,,
Kama una taxi yako unatoboa haraka kwa mwanza naona fursa ya taxi watu hawajaisanukia
Nenda pale airport sajili taxi yako au town
Tafuta wateja wanaoishi ushuani Capri point, Bwiru, kiseke, Nyamhongolo
Utatoboa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kwa hakika umeijua kweli.. nayo kweli itakukomboa
 
πš„πš—πšŠπšπš˜πš‹πš˜πšŠπš“πšŽ,πš‘πš’πš£πš˜ πšπšŽπš”πšœπš’ πš£πš’πš•πš’πš”πšžπš πšŽπš™πš˜ πš—πšŠ 𝚠𝚊𝚝𝚞 πš πšŠπš•πš’πšœπš‘πšŠπš˜πš—πšŠ πš‘πšŠπš”πšžπš—πšŠ πšπšŽπšŠπš• πš πšŠπš”πšŠπšŠπšŒπš‘πšŠ
 
Kuweka bei ndogo bila kuzingatia ubora ndo utaharibu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…